Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Huyo ni Havana au waziri wa fedha mtarajiwaKimei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Havana au waziri wa fedha mtarajiwaKimei
Lkn sio Gwajima, hakuna muislam hata awe mwana ccm kama Bashiru wakumpigia Kura Gwajima.Halima Mdee hatakiwi Kawe, yoyote anaweza mtoa!
Ilikuwa lazima tu, compaign managerChristopher Ole sendeka in da house...
Bila shaka nadhani atapewa Viwanda na Biashara.. Ila ningefurahi sana kama atapewa Fedha..
Nimefurahi kumuona Dr Charles Kimei.
KAWE CHADEMA kabla ya saa saba mchana washachukua Jimbo lao.
Lkn sio Gwajima, hakuna muislam hata awe mwana ccm kama Bashiru wakumpigia Kura Gwajima.
Wapi Lugola!!!!! Ati una mfananisha binadamu mwenzako na Yesu... Sasa mwambie akuokoe na wewe nyambafuu. Tukutane kwenye uvuvi na kukata maunoo.Baada ya kikao cha halmashauri kuu kuketi asubuhi, Katibu mkuu mwenezi wa CCM anaongelea yaliyojiri.
=======
Polepole: Vikao vyote cha jana na leo vilikuwa chini ya mwenyekiti wa CCM. Kikao cha halmashauri kuu kilikuwa na lengo moja na limekamilika. Lengo lilikuwa kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagomea wa majombi na viti maalum. Napenda kuleta taarifa hiyo kwenu kwa maana hawa walioteuliwa leo kwa majimbo na viti maalum.
Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, chama chetu kimeandika rekodi na historia ya kukubalika. Upande wa uwakilishi leo haukufanyika uteuzi kwa sababu ya muingiliano wa ratiba ya NEC. Wagombea 33,094 waliomba kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwenye udiwani ilhali nafasi zipo kama elfu nne na kitu na kufanya jumla ya watu 43,461 waliiomba kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwenye nafasi mbalimbali.
Wajumbe wa halmashauri kuu wametimiza wajibu wao na kikao kimeeleza wajibu wao wa kusimamia serikali mpaka tumefika hapa, uamuzi walioufanya leo umezingatia watu wabobevu kusimamia maslahi ya watu wetu watakaofanya kazi sambamba na serikali ya chama cha Mapinduzi ambayo tunaenda kuiombea kura.
Kwa kauli moja wajumbe wamefanya uteuzi baada ya kupokea majina kwa watakaokuwa wagombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge. Vilikuwepo vingezo na sifa ambazo tumezitumia ikiwemo wanaCCM wanaojitoa kwa chama, tumetafuta yule ambae atatuleta pamoja, wenye mahusiano mazuri na wananchi na wanakubalika na jamii.
Watu ambao wameteuliwa leo wanatakiwa wanatakiwa wafanye maandalizi ya msingi.
Kwenye majimbo wanaCCM ni nidhamu tuendelee kuwa watulivu, wagombea ni wengi hatuwezi kupata wote lakini nawahakikishia kwamba, chama chetu ni kikubwa na fursa zake ni nyingi tuendelee kuwa wanyenyekevu na watulivu, chama kina taarifa zenu.
ARUSHA
Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha
DAR
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo
DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa mji- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Nataly Malima
GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang'alwe- Hussein Amar
IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga mji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile
KAGERA
Bukoba mjini- Stephen Byabato
Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo
KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda
Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
Mpanda Vijijini- Moshi Kakoso
KIGOMA
Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dr. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
Kigoma Mjini- Kirumbe Shabani Ng'enda
Kigoma Kaskazini- Asa Nelson Makanika
Kigoma Kusini- Nashon William
Kasulu vijijini- Augustine Hole
KILIMANJARO
Vunjo- Charls Kimei
Siha- Dr. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne Kilango Malecela
Same Magharibi- Dr. Mathayo David Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- Priscus Tarimo
Mwanga- Anania Tadayo
LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
Lindi Mjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa
MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulu mji- Isai Paulo
Mbulu vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka
MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof. Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chacha Maboto
Bunda Vijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charls Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
Tarime Mjini- Mwita Michael Kembaki
Tarime Vijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr. Jeresabi Mkimi
MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbalali- Franscis Mtega
Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona
Uwekezaji au viwanda na biashara.Huyu mzee ni senior serikali haiwezi kufanya kosa la kutokutumia kikamilifu uzoefu wake na exposure yake ktk mambo ya fedha na uwekezaji mitajiAnaweza kuwa msaidizi wa mpango
Labda hatosauliwa kwenye uteuzi.Mzee Mwanri wamemkatili sana. Bora angebaki na ukuu wa mkoa. Mnyonge mnyongeni aki yake mpeni
Subiri uone kura za maruhani tena za wana CCM haohao!!!!
Hiyo mirushwa yao hiyo, mimi wala siwaungi mkono kama mtoa mada anavyotaka kutuaminisha!
Nadhani umefika wakati mfumo wa kura za wajumbe ubadilishwe na badala yake zipigwe na wanachama wote ili kudhibiti mihemuko ya watia nia wanaoendekeza rushwa!
Kawe Halima hatoboi, kule Ndanda kwa Cecil Chadema kama kuna mtu mwenye ushawishi jimbo wanalichukua mapema tu..Shinyanga, Kawe, Tunduma, Momba na Arusha mjini CCM watapoteza majimbo mchana kweupe
Hata wale waumini wake pale Tanganyika Packers by 90% siyo wakazi wa Jimbo la KaweNi awamu kiongozi sio hawamu BTW gwajima hapigiwi kula na waumini anapigiwa na kawe HAWEZI kushinda
Hakuna mdini kama Gwajima.Acha udini wewe
Halima Mdee hatakiwi Kawe, yoyote anaweza mtoa!
Bila shaka, watu wa Vunjo niliwashangaa sana kutompa kura za kishindo kule.Huyu ni mmoja wa mazee "smart" sana.