Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Mpuuzi kabisa . Amani ipi ya uonevu na isiyotaka haki kwa wengine ?!
 
Kwa ulinzi mkubwa kama huu,inaonyesha huyu mstakiwa ana nguvu kubwa sana ya umma.Kwa nini serikali isitumie ushawishi wa watu kama hawa postively.i.e kama ilivyo kule Zenji.hadi kufikia kumshinikiza yule mbunge kujiuzulu kabla ya kuapishwa
 
Kwa hiyo na wewe ambaye huhangaiki na huu ‘upuuzi’, familia yako inakula bata Dubai? Watu fukara kunuka kama Wewe, ndo wenye hizi propaganda za kijinga kwa kusukumwa na wivu! Unajua hao mabwana zako wa huko kwenye usukumagang wanakula bata wapi? Au unafikiri kwa sababu wanajiita watetezi wa wanyonge, ni wanyonge kama Wewe?! #Lakataduara!
 
Nakazia: zandrano unakwitwa huku
 
Hao polisi wamejazana hapo hawana kazi nyingine za kufanya ? hawa ndio wanaokula hela zetu za kodi bure, na wanasababuisha walimu wasilipwe mishahara stahiki na kwa wakati, hii nchi ya hovyo sana, watu wanazurula tu wanalipwa mishahara ya bure
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Akina Mandela wangekuwa na mawanzo ya kijinga kama yako wasingekomboa nchi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona Unampatia baraka za KKKT.
 
So what?- "Watanzania siyo wajinga"-Magufuli. Hz unazoleta ni very cheap propaganda,if they are true-Weka ushahd hadharan kuisaidia serikali ili ashtakiwe kwa money laundering-otherwise utakuwa unajenga mawazo rubbish
Ushahidi gani unataka zaidi ya huo? Kusoma hujui hata picha huioni?
 
Sasa kama upelelezi umekamilika hilo jalada limewashindaje kubeba? Nu zito sana kiasi kwamba linahitaji winchi au liko ng'ambo. Wanajua kuwa kesi ni leo halafu jalada linavaki kwa DPP kwanini?

Baadaye tutaanza kuambiwa hakimu anaumwa, mara kasafiri, mara wakili wa serikali hajafika, mara kuna shitaka la kuongeza mpaka miaka 7 ipite.

Wamefuta kesi za ugaidi kwa mashekhe wa uamsho wamefungua tena kwa Mbowe. Wamerukia neno ugaidi bila kujua maana yake. Watashindana lakini hawatashinda!
 
Hapo ndipo nikiwaambia kuwa Mbowe na Lissu hawana busara mniamini. Ile approach dhdi ya Rais SSH ya kumuamrisha ilikuwa WRONGLY Planned and badly timed.

Huwezi shindana na state apparatus hata ingekuwa na Katiba Mpya kama ya Kenya au South Africa.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Mbona huu upuuzi unarudia rudia kupost? Unachoandika ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu.

Wenye akili hufikiria zaidi ya ugali wa kila siku. Waache wenye akili, hekima, utu, uzalendo wapiganie haki mama ya Taifa letu ili siku moja tuweze kuongozwa na watu wenye uwezo wa kuongoza kwa kuzingatia mwongozo mkuu, ambao ni katiba.
 
Hawajamuamrisha. Wao walikuwa wanafanya kile ambacho katiba na sheria ya vyama vya siasa zinaruhusu isipokuwa serikali haitaki. Kwahiyo mchokozi hapo ni serikali
Hapo ndipo nikiwaambia kuwa Mbowe na Lissu hawana busara mniamini. Ile approach dhdi ya Rais SSH ya kumuamrisha ilikuwa WRONGLY Planned and badly timed.

Huwezi shindana na state apparatus hata ingekuwa na Katiba Mpya kama ya Kenya au South Africa.
 
Hapo ndipo nikiwaambia kuwa Mbowe na Lissu hawana busara mniamini. Ile approach dhdi ya Rais SSH ya kumuamrisha ilikuwa WRONGLY Planned and badly timed.

Huwezi shindana na state apparatus hata ingekuwa na Katiba Mpya kama ya Kenya au South Africa.
Kumbe mnajua mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya kubumbuka kutokana na hiki ulichoandika hapa!
 
Ushahidi gani unataka zaidi ya huo? Kusoma hujui hata picha huioni?
Hii kesi ya sasa ya mbowe inahusiana vipi na Lowassa kumpa Mbowe pesa kuhamia CDM? Prove it otherwise tunarudi palepale-Tuhuma ulizoleta ni bogus
 
Hapo ndipo nikiwaambia kuwa Mbowe na Lissu hawana busara mniamini. Ile approach dhdi ya Rais SSH ya kumuamrisha ilikuwa WRONGLY Planned and badly timed.

Huwezi shindana na state apparatus hata ingekuwa na Katiba Mpya kama ya Kenya au South Africa.
Ni mjinga pekee anayeweza kukuazima akili yake kuamini unayoyaandika kwa kigezo cha kuja na sura ya kujifanya mwanachama wa CDM,This is typical CCM warriors mentality.Watanzania wa sasa siyo wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…