Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Ukisema kubambikwa unaingilia Uhuru wa mahakama
wewe kwa akili yako timamu unaona siyo ya kubambikiwa? nchi ina mambo ya kipuuzi sana. hayo mapesa yanayotumika kuendesha hii kesi isiyokuwa na kichwa wala miguu si bora ingetumika kununulia madawati kuna watoto 400 wanasoma wakiwa wamekaa chini huko sengerema? stupid!
 
Imagine ikathibitishwa na mahakama vinginevyo, uko tayari kuwaomba Watanzania msamaha!???
 
Waliopigania uhuru wangekuwa na angalau 1% ya ubinafsi uliyonao WEWE hata huyo aliemzaa baba yako asingekuwa na uwezo wa kumlea. WEWE ndio sijui kabisa
wewe unapigania uhru wa nchi gani kama sio bure utakuwa umeharibiwa akili!! uhuru wa nchi hii ulipatikana tangu mwaka 1961 ndio maana leo hii wewe umezaliwa Tanzania.
nenda kafanye kazi kwa faida yako na wanao achana na upuuzi huu wa kufuata upepo.
acha ujuaji,
 
Siyo kosa lake, amekaririshwa tu huyo 🙂
 
Kuna mijitu inawafundisha watu uoga wa kingese.
Acha watu wafanye wanavyoona inafaa sio kutishana kwa kijinga.
Nani ataishi milele kwenye dunia hii?
Acheni mambo ya kikhanithi mnakera sana.
 
hakuna mahakama huru inaweza kuthibitisha huu upuuzi.
Kumbe Mheshimiwa Sabaya aachiwe huru tu, sivyo!??? Maana mlisisitiza sana afikishwe mahakamani. Au mlimaanisha mahakama za London & Washington!???
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
na wewe siku utakapofukuzwa hapo kwa shemeji yako au huyo mjomba wako na kuanza kutafuta ugali wako mwenyewe ndipo utakapoelewa hawa chadema wanafanya nini sasa hizi na kwa manufaa ya nani, vinginevyo wewe endelea kula chakula cha bure na ulale (irresponsible mind)
 
Kama watu wote wangekuwa na ushauri huu nadhan Tanganyika ingekuwa nch ya mwisho kupata uhuru Tena kwa huruma ya waliotutawala

Bibi titi nyerere Sykes rupia mkwawa chifu songea kinjekitile wangekuwa lelege Leo hii uhuru ungeuisikia kwenye bomba

Pambaneni na tupambane kumto mkoloni mweusi CCM hakika historia itatukumbuka hata Kama sio leo ipo siku


.... COMRADES NEVER DIE .....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada acha uchochezi .ulijuaje Kama alibakikizwa umekuwa mahakama!?, tunachojua watz wote Mr hai,ni gaidi suspect....over! Ukiwa suspect maana yake tunasubili maamuzi ya mahakama huko gaidi alikoshtakiwa na mahakama ya jamhuri.who are you ,kusema amebambikiziwa!?,Mr hai he is terrorists suspect ! Over.
 
Wapo weusi wengi km wewe waliomwona Mandela, Mbeki, Zuma hivyo hivyo kwenye miaka ya 60, 70, 80... Wewe siyo wa kwanza.
wacha kupoteza muda mkuu.
huyo Mbowe amesha jiwekeza kiuchumi ana uhakika watoto wake watasoma shule bora, watakula n.k, Mnyika amejiwekeza, John mrema amejiwekeza, Kibatala amejiwekeza kiuchumi na wote hao wanao uhakika wa maisha yao wewe unadanganyika unajazwa upepo kwa kupewa nauli na vijisenti vya siku moja unaenda kushika mabango na unaishia kuswekwa rumande na unataabisha familia yako.
achana na upuuzi huu. jiongeze.
 
Hii ndiyo njia sahihi ya ukombozi. "It is not a bed of roses".
 
Mwenzio Mbowe ktk kipindi chote cha ujana wake alipambana kutafuta mali na kazipata ktk nchi hii hii na anao uwezo wa kutosha. familia yake haito pata tabu.
sasa wewe unataka kuchezea nguvu zako na muda wako badala kujitafutia riziki wewe umebaki kupoteza muda.
 

Niacheni nipumzike jamani.

Mbona mzee wa "Uwazi na ukweli" hamumjadili hovyo
 
Haijalish mm n mwanamapinduz wa kweli che guevara ali pamabana hakuacha kitu chakidunia Zaid ya uhuru kwa watu wake lakn leo n shujaa

Mm sio muoga mkuu npo mstar wa mbele kuleta mabadiliko nchi hii Mali n vitu vya kupita tu

Wewe mtoto wa kike lala sisi wanaume tunakupambania

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Usitutukane. Mhuni nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…