Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Turudi kwenye hoja ya msingi, mjadala unaendelea!!Kama ni wako sasa kiherehere kinachokuwasha kinatokea wapi juu chini usitake tufungulie wengine tumefunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turudi kwenye hoja ya msingi, mjadala unaendelea!!Kama ni wako sasa kiherehere kinachokuwasha kinatokea wapi juu chini usitake tufungulie wengine tumefunga.
Huo si msahafu bana...Mnyika, nina paraphrase. Katiba iliyoko hairuhusu uundaji wa katiba mpya kwa jinsi tunavyotaka taifa. Maana inaruhusu rais kukataa suggestions za tume na haikubali mapendekezo ya wananchi.
Usiwe na shaka usitoke kwenye PC yako.wadau plz endeleeni kutujuza yanayojiri hapo Nkurumah siye tuko kazini:eyeroll1:
wAKUU,
What is this all about?..
Hamuoni hapa watu wanaongelea intelijensia yenye mashiko?
Tulikuwa tunawekana sawa tuendelee hata kwenye ukumbi watu wakishangilia kwa muda mrefu m/kiti lazima awatulize.Turudi kwenye hoja ya msingi, mjadala unaendelea!!
Muungano upi tena...!...hii yaserikali 2 haina ishu...Aidha 3 au 1..kwisha!Suala la Zanzibar........nchi maana yake dola........................tusitoe tafsiri ya harakaharaka ili tuvunje muungano.............PROFESA SHIVJI.
Ungemalizia..."kwa maoni yangu"...Ni rahisi kumshinikiza rais kuliko bunge................ushauri kwa viongozi wa Chadema.
Tatu nadhani ndio wengi wanaihitaji........................Prof kamaliza sasa ni Jenerali Ulimwengu.Muungano upi tena...!...hii yaserikali 2 haina ishu...Aidha 3 au 1..kwisha!
Yes kwa "maoni yangu" kuwa hii ishu ya mchakato wa katiba ikipelekwa bungeni CCM wanaweza kuchukulia uwingi wao bungeni kuikwamisha na wakafanya wanavyotaka wao!!Ungemalizia..."kwa maoni yangu"...
Mi sioni kama alimaanisha hivyo, unless kama amesema hivyo!
Marando hajaongea jamani?
hahahahhaah HILO NENO BWANA DUUUU!wAKUU,
What is this all about?..
Hamuoni hapa watu wanaongelea intelijensia yenye mashiko?