Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Mnyika, nina paraphrase. Katiba iliyoko hairuhusu uundaji wa katiba mpya kwa jinsi tunavyotaka taifa. Maana inaruhusu rais kukataa suggestions za tume na haikubali mapendekezo ya wananchi.
Huo si msahafu bana...
Iliwekwa na watu, irekebishwe na watu, wala rais asiruhusiwe kuingilia!...
 
wadau plz endeleeni kutujuza yanayojiri hapo Nkurumah siye tuko kazini:eyeroll1:
 
Watoa mada wamepewa dakika tatu kuchangia kwa yale yaliyojitokeza.
 
Suala la Zanzibar........nchi maana yake dola........................tusitoe tafsiri ya harakaharaka ili tuvunje muungano.............PROFESA SHIVJI.
 
Ni rahisi kumshinikiza rais kuliko bunge................ushauri kwa viongozi wa Chadema.
 
Shivji anatahadharisha tunavyotafsiri swala la zanzibar. Njia mbadala yakupeleka mjadala wa katiba mpya bungeni mtakua mme marginalise wananchi na mtapeleka mjadala moja kwa moja kwa ccm kwasbabu ndio wengi bungeni. Ni rahis kumshinikiza rais kuliko bunge.
 
Shivji amesema, ni rahisi kumshinikiza Rais kuliko Bunge
 
Suala la Zanzibar........nchi maana yake dola........................tusitoe tafsiri ya harakaharaka ili tuvunje muungano.............PROFESA SHIVJI.
Muungano upi tena...!...hii yaserikali 2 haina ishu...Aidha 3 au 1..kwisha!
 
Ni rahisi kumshinikiza rais kuliko bunge................ushauri kwa viongozi wa Chadema.
Ungemalizia..."kwa maoni yangu"...
Mi sioni kama alimaanisha hivyo, unless kama amesema hivyo!
 
Muungano upi tena...!...hii yaserikali 2 haina ishu...Aidha 3 au 1..kwisha!
Tatu nadhani ndio wengi wanaihitaji........................Prof kamaliza sasa ni Jenerali Ulimwengu.
 
Mambo Jackbauer. Asante kwa taarifa. Naomba ulitendee haki hilo, maana fisadi hafichi ukweli mbele ya Bauer labda awe amekata kauli!

Bauer angepewa nafasi amhoji Celina Kombani ukweli ungejulikana kama anatingisha kiberiti kweli au analinda maslahi yake na mkuu wake wa kazi.
New constitution is highly required 4 our better future. It is an obligation not a request!
 
Ungemalizia..."kwa maoni yangu"...
Mi sioni kama alimaanisha hivyo, unless kama amesema hivyo!
Yes kwa "maoni yangu" kuwa hii ishu ya mchakato wa katiba ikipelekwa bungeni CCM wanaweza kuchukulia uwingi wao bungeni kuikwamisha na wakafanya wanavyotaka wao!!
 
kama kuna mtu ana rafiki ITV amuombe atupatie/atuibie hii kitu recorded... this is historical.... sijui reporters wetu kazi zao nini?, ingebidi just after mkutano hii kitu iwe tayari wameshaburn kwenye CD na wanaziuza..... Its time they stand up and be counted.... Shame on You REPORTERS/JOURNALISTS
 
Kumbe TUME ya UCHAGUZI haijui idadi ya kura za mwisho zilizopigwa wakati wa uchaguzi uliopita-----Jenerali.
 
Back
Top Bottom