Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

NN, kuna ni na wadada? Wiki hii umewakalia kombo. Kila toleo ni wao! kulikoni
 
Huyu mtoto wa Rais ndie anaonekana kuwa mpinzani wa kweli toka moyoni wa huu utawala uliopo, wengine wamejiegesha tu kwenye upinzani wajaze matumbo yao.
 
Huyu mtoto wa Rais ndie anaonekana kuwa mpinzani wa kweli toka moyoni wa huu utawala uliopo, wengine wamejiegesha tu kwenye upinzani wajaze matumbo yao.
Huwa anaongea kwa hisia kutoka moyoni,.........wengine nahisi wanaongea kinafiki
 
Hakika Tundu Lissu ni turufu pekee kwenye uchaguzi huu, ndiyo watawala wanamuwinda sana amekuwa mwiba sana.

Msikilize
 
Kwa nini CHADEMA wasiunge mkono ACT ? Acha ubinafsi na kujiona ninyi ndio wenye haki tuu ya kusimamisha mgombea urais kupitia Muungano wa Upinzani kwenye kila uchaguzi mkuu.
 
Kwa nini CHADEMA wasiunge mkono ACT ? Acha ubinafsi na kujiona ninyi ndio wenye haki tuu ya kusimamisha mgombea urais kupitia Muungano wa Upinzani kwenye kila uchaguzi mkuu.
Naona kama vile unajibu kwa kufoka

Naomba nikuulize kwann chadema iunge upande wa act?

Ukinipa jibu nitaungana na wewe katika hoja unayo taka iwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…