Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

Leteni hizo video polisi wakifyatua risasi na kurusha mabomu ya machozi.
Nilijua tu lazima itafika mahali kuanzia wiki hii polisi wataanza kuwatishia watu wasiende kwenye mikutano ya Lissu na hii inatoka Dodoma.
 
Nyamongo
 
wananchi wachoshwa na uonevu
 
Ndio hivyo tena
 

Attachments

  • _Baada Ya Polisi Wilaya Tarime kuvamia, kupiga Mabomu, risasi za Moto na kuumiza ( 423 X 750 ).mp4
    5.4 MB
Saa ya ukombozi inakaribia kabla jua halijazama kila mtu atakuwa amemuelewa huyu Mwamba kutoka kanda ya kati Tundu Lissu.

Wananchi wa Serengeti msikatishwe tamaa na Polisi CCM.

Ukombozi uko hatua mmoja mbele bado kidogo ,kutapambazuka kwa shangwe kuu.

Tunataka Uhuru Haki na Maendeleo ya Watu.
Hakika
 
Nasubiri list ya viti maalumu maeneo haya mnayopewa nyomi la kutosha.
 
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu asichague #Lissu tarh 28.
Lisssu mwenye uwezo wa kuitafsiri elimu yake kwenye mazingira anayoishi.
Shida inaanzia hapa
SmartSelect_20200928-155812_Chrome.jpg

Tanzania yatajwa ongezeko kubwa la vichaa
 
Hakuna wanafunzi kweli humo??😝
Natania makamanda!

Everyday is Saturday..............................😎
 
Back
Top Bottom