Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Wewe unaona huyu anafaa kuwa Makamo wako? Acha upim.bi jamaa.Anakubalika na mazombie wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaona huyu anafaa kuwa Makamo wako? Acha upim.bi jamaa.Anakubalika na mazombie wenzake
Unaongelea tume ipi we mpuuzi?Aache kwenda kwenye tume ya maadili aone ! Anafikiri yeye wanashindwa kumuengua ???
Aache kwenda kwenye tume ya maadili aone ! Anafikiri yeye wanashindwa kumuengua ???
Hapo ndipo tunapopataka ili tuanzishe maandamano yasiyo na kikomo hadi huyo mpuuzi baba yako jiwe atakapongo'olewa kwa nguvu.Hakuna wa kuwatangaza nyinyi, yaani mnajifariji tu .
Duh!
Atatangaza tu labda tuishinde.
Lissu ni kichaa, hanadi sera hata siku moja ye ananadi mapambano tu kwamba lazima atangazwe kwa sababu watu walikuja kusikiliza mkutano, basi lazima awe mshindi la sivyo damu itamwagika, huyu kichaa ametumwa anatumiwa kama zombie na wazungu
Kichaa anaetetea wafanyabiashara wadogo maskini wasinyonywe na CCM na Mambo kibao basi ukichaa niLissu ni kichaa, hanadi sera hata siku moja ye ananadi mapambano tu kwamba lazima atangazwe kwa sababu watu walikuja kusikiliza mkutano, basi lazima awe mshindi la sivyo damu itamwagika, huyu kichaa ametumwa anatumiwa kama zombie na wazungu
Utalinganisha na hii hapa ya Rais Magufuli anayesubiri kuapishwa!?View attachment 1583315
Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani Mara kwenye jimbo la Serengeti.
Pamoja na kufanya kampeni lakini mgombea huyu anayo sifa ya ziada ya uwezo wa kuwafundisha raia kuhusu haki zao walizoporwa kwa miaka mingi, hatukani wala hafokei wapiga kura , amekuwa gumzo kubwa kwenye elimu ya uraia ambayo imesaidia wapiga kura kujiamini na kujiwekea malengo.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika ambapo mimi mtumishi wako Erythrocyte nitakuletea kila kinachojiri.
==========
UPDATES 1
Polisi yavurumishia risasi na Mabomu kwenye Msafara wake eneo la Nyamongo
View attachment 1583350
kwa sababu zisizofahamika , video hii hapa
View attachment 1583579
UPDATES 2
Baada ya mabomu Nyamongo ilikuwa hivi
View attachment 1583506
Mbona hawa wamekaa kama vile wako kwenye msiba, kwa hakika huu hauwezi kuwa mkutano wa kampeni. Wahudhuriaji wanaonekana kama vile hawana namna, wengine wanaonekana kama vile wameduwaa kabisa kwa nini wameletwa hapo uwanjani! Bye bye Jiwe, tutaharakisha maumivu yenu na tarehe 28/10/2020 haiko mbali, vumilieni kidogo tu, hiyo minyororo mliyofungwa itafunguliwa muweze kuwa huru.
Hii ni nyomi ya mkoa mzima msijidanganye bado hapo kuna wasanii
Hayo yanayofanyika kwenye hiyo picha unaona ni sawa kimaadili? Mpuuzi kweli kweli weweSasa hii picha ulioweka ina uhusiano gani na ukichaa wa Lissu aliyetumwa na mabeberu?
Muumbwa wewe, huoni ajabu kabisa hapo? Bashite kumtawanya huyo jimama? Kwanini hamuheshimiani huko CCM? Puumbavu sana.Cha ajabu nini hapo? mpuuzi baba yako
Huyo jimama amewahi kukuonesha hizo nywele zake wewe zaidi ya Bashite? Hivi mkiwa huko CCM akili huwa zimewafyatuka kutokana na hayo malipo ya elfu saba kwa siku eti?Mpumbavu aliyekuzaa, wewe una ushahidi wa hiyo hoja yako??
huu ni mkutano wa mkoa mzima wa Iringa uliohudhuriwa na nusu ya watu ambao hawatamchagua magufuli
Nimesikitishwa sana...hawa polisi kichwani hamnazowananchi wachoshwa na uonevu
View attachment 1583495
28 September 2020
Mugumu, Serengeti
Tanzania
Tundu Lissu apokewa kwa kishindo, atoa somo kuhusu kuitwa tarehe 29 /9/2020 Dodoma kufuatia malalamiko ya kutuhumiwa kukiuka maadili ya uchaguzi
First Lady mtarajiwa Alicia Lissu amepanda jukwaani na kuwaambia waTanzania wote kuwa yeye Alicia kama mwanasheria, basi bila shaka waTanzania watambue kuwa Tundu Antipas Lissu akiingia Ikulu yeye Alicia Tundu atakuwa anamsumbua na kumkumbusha kila siku Rais Tundu Antipas Lissu kutetea haki za binadamu ili wananchi wa Tanzania waishi kwa Uhuru, Haki bila kunyanyaswa kama ilivyo sasa kwa miaka mitano ya CCM Mpya 2015 - 2020 inayoishia Oktoba 28 2020
Malalamiko ya wanaokiuka Maadili ya Uchaguzi basi serikali au chama husika kitawakilisha kwa maandishi malalamiko kwa Tume ya Uchaguzi.
Mpaka sasa hakuna taarifa ya mgombea wa chama, chama au Tume wamewakilisha malalamiko kwake Tundu Lissu au kwa chama chake CHADEMA.
Hivyo kukosekana kwa barua ya malalamiko iliyowakilshwa Tume ya Uchaguzi maana yake Tundu Lissu hawezi kwenda Dodoma kesho tarehe 29/09/ 2020.
Ratiba ya mgombea urais 2020 kufanya kampeni eneo la Mugumu Serengeti unaoonesha mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu ulitaka kuvurugwa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi huku nakala ikipelekwa kwa OCD, DSO na DC wote wilaya ya Serengeti.
Baada ya maneno hayo ktk ufunguzi wa kampeni Tundu Lissu anarejea suala la Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu wanaoishi ktk maeneo maalum tengefu .... kama Mugumu Serengeti na maeneo mengine kama hayo Tanzania nzima ....
Mbona tumeengua madiwani wenu karibu 500 Lakini hamjafanya chochote??
Tume ya uchaguzi hebu tuondoleeni huyo mpuuzi naona dharau zimezudi.