Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

Hakuna wa kuwatangaza nyinyi, yaani mnajifariji tu .
Hapo ndipo tunapopataka ili tuanzishe maandamano yasiyo na kikomo hadi huyo mpuuzi baba yako jiwe atakapongo'olewa kwa nguvu.
 

Attachments

  • magu.jpeg
    128.6 KB · Views: 1
Ume jarbu kuingiza vizuri ika tosha ??

SUBIRI KIDOGO
 
Hacha ujinga wako, serikali za majimbo kanadi mazako?? Masuala ya afya, ajira kanadi mkweo??

Kama humpendi hachana nae sisi kwetu TAL ni lulu kabisa
Lissu ni kichaa, hanadi sera hata siku moja ye ananadi mapambano tu kwamba lazima atangazwe kwa sababu watu walikuja kusikiliza mkutano, basi lazima awe mshindi la sivyo damu itamwagika, huyu kichaa ametumwa anatumiwa kama zombie na wazungu
 
Lissu ni kichaa, hanadi sera hata siku moja ye ananadi mapambano tu kwamba lazima atangazwe kwa sababu watu walikuja kusikiliza mkutano, basi lazima awe mshindi la sivyo damu itamwagika, huyu kichaa ametumwa anatumiwa kama zombie na wazungu
Kichaa anaetetea wafanyabiashara wadogo maskini wasinyonywe na CCM na Mambo kibao basi ukichaa ni
Mzuri Una maana kuliko wewe mzima takataka.
 
Utalinganisha na hii hapa ya Rais Magufuli anayesubiri kuapishwa!?

 
Utalinganisha na hii hapa ya Rais Magufuli anayesubiri kuapishwa!?

View attachment 1583743
Mbona hawa wamekaa kama vile wako kwenye msiba, kwa hakika huu hauwezi kuwa mkutano wa kampeni. Wahudhuriaji wanaonekana kama vile hawana namna, wengine wanaonekana kama vile wameduwaa kabisa kwa nini wameletwa hapo uwanjani! Bye bye Jiwe, tutaharakisha maumivu yenu na tarehe 28/10/2020 haiko mbali, vumilieni kidogo tu, hiyo minyororo mliyofungwa itafunguliwa muweze kuwa huru.
 
Sasa hii picha ulioweka ina uhusiano gani na ukichaa wa Lissu aliyetumwa na mabeberu?
Hayo yanayofanyika kwenye hiyo picha unaona ni sawa kimaadili? Mpuuzi kweli kweli wewe
 
Watumishi wa umma Unajua wengi wamekuelewa Mheshimiwa Tundu lissu ila hawawezi kujionyesha kwa sababu ya kulinda ajira zao.

Watumishi hao wa umma ni pamoja hawa wakurugenzi, wakuu wa wilaya pamoja na wakuu wa mikoa.

USHAURI:
Naomba sana katika kampeni zako hawa watu usiwatangazie UBAYA au KISASI kwa sababu tu ni wateule wa Rais , Bali uwaahidi utawasaidiaje kulinda ajira zao ukiwa Rais ukizingatia maisha yao yapo kwenye hizo ajira kwa maana kwamba wanasomesha, wanategemewa, wanasaidia ndugu na wazazi wao kupitia ajira hizo.

Kwahiyo katika kampeni zako hakikisha unajitahidi kutoa maneno ya faraja yanayo akisi hatma yao wewe utakapo kuwa Rais.

KUMBUKA : Kundi hili la watumishi wa umma wana mchango mkubwa sana kwenye ushindi wako wa Oktoba 28 , sio tu kukupigia kura , bali ni pamoja na kutenda HAKI katika uchaguzi huu.

Vinginevyo kama hawatapata hatma ya maisha yao watazilinda Ajira zao kwa gharama yoyote.
 
Mpumbavu aliyekuzaa, wewe una ushahidi wa hiyo hoja yako??
Huyo jimama amewahi kukuonesha hizo nywele zake wewe zaidi ya Bashite? Hivi mkiwa huko CCM akili huwa zimewafyatuka kutokana na hayo malipo ya elfu saba kwa siku eti?
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 1

Tume yajimwambafai kuwa ipo huru

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…