Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap mko kama 20% hivi ya wapiga kura wote.
Wafuasi wote wa Lisu hamjui tofauti ya beberu na mfadhili kwa kuwa wote wana rangi moja.
Baada ya oktoba utajua kama alikuwa na kazi ngumu au rahisi
Tena wanalalamika maendeleo yote mnayoyaonawni ya majengo lakini hawana maji ya bomba.huku chato watu wanasema Magufuli kwao ni BURUNDI.
Ikiwa ndivyo hivyo kwanini tufanye uchaguzi?Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Bwashee wewe ni mnaa sanaMbona wananchi hatuwaoni?!
Wewe inaonekana hata shule hukumaliza sababu ya mimba za utotoni. Mwandiko tuu unatosha kuthibitisha hiloLissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.
Hahahaaaa....... Weka picha bwashee!Bwashee wewe ni mnaa sana
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha...
Najua uko kibaruani unatetea hata usichokiamini na inaonekana shule ulimaliza mapana sanaSikushangai!
Mashabiki wote wa Lisu hawajui beberu ni nani ndio maana mgombea wenu kaenda ubelgiji kavamia beberu wake ndio anamtetea kila siku ili apate urais
Wewe sio CHADEMA, hatuna kamanda zwazwa kama wewe.Matumizi ya picha kama hizi za kutengeneza ninazipinga. Mwaka 2015 zilidanganya umma,chama chetu kikaambulia patupu.
Kifungu gani hicho cha Katiba yetu pendwa?Tukitaka kuibadilisha tunawatumia Watanzania au Malaika?Ule mchakato wa Katiba Mpya ulikwama kwa sababu zipi?Kura zikihesabiwa kwa haki na sheria ccm hawezi shinda bali analindwa na katiba ya nchi ambayo hairuhusu mtu nje ya ccm kuingia ikulu hata kama magu atapata kura moja tu inatosha kutangaza hata mpinzani apate kura mil 70 bado atakuwa ameshindwa mpaka katiba yetu ibadilishwe upinzani utaingia ikulu
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!