Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.
Yaani wewe nashauri urudi kwanza darasani ukajifunze Kuandika kiswahili: Sina uhakika kama Umeona ulichokiandika?!!! Kibalaka, mabebelu, awezi, lais, ata, labda ulikuwa Unaandika kilugha chenu, hakuna kiswahili hapo!!?
 
Lissu ana hoja tutambeza lakini yuko vizuri kichwani
Kwani hawajui wewe ukitembelea kwenye magroup yao, huko wanavyotetemeka kwa sumu anazosambaza lisu, ila ni ile kujitutumua tu!! Kwani hawakutegemea kukutana na hiki kinachotokea kwenye mikutano yake!!! Walijua kwa kununua ndege, madaraja wamemaliza!!!
 
Screenshot_20200914-195027_Chrome.jpg


King'ang'anizi Tundu Lissu amezidi kupiga vitasa ujenzi wa uwanja wa ndege Chato. Hii ni leo baada ya Dkt. Magufuli kujibu mapigo huko Geita.

Hapa yanatakiwa majibu ya kina kila kipengele. CCM waache kuchakata hizi hoja na kuzigeuza matusi kwa Rais. Maana hatulewi kusikia Lissu anamtuka Rais. Kama haya ni matusi basi sawaaaaaaaaaa.
 
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.

Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.

Ameamua kuendelea kukera7
 
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA.
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763
MUNGU na Lissu, shetani na jini lile la chato
 
Mama weeee. Hakuna wasanii kweli hapo? Kina Hamornize na Diamond wameamua kumsupport Lissu? Na bongo movie je? Duh [emoji849]. Huyu Lissu ana balaa sana.
 
Ndio maana yake eti mtu hawezi kujenga chato ambako anajua hakuna faida ya kitaifa. Lazima anajua atafaidi milele

Si ndio hapo. Huyu atastaafu; sasa nani atautumia tena huo uwanja kama anajua kuna kustaafu? Ina maana kwake kustaafu hakupo. Tuamke jamani, hapa itakula kwetu tujute miaka 20 ijayo.
 
Yan huyu jamaa asimame pahala asimtaje magufuli!!!! Piga campen bwn, ww ukiwa rais huto jenga kwenu??? Haoo inaonesha dhahiri unamuhaha mh JPM.
Amtaje hashim rungwe?lengo lake ni kumwaga sumu tu,baada ya uchaguzi ukitaja bure jina la bwana mkuu unapewa kesi nzito,ngoja tumzingue kwa miezi hii miwili hadi akome
 
Kwa vitasa hivi lazima dikteta apanic sana yani..... Na bado km siku 45 hivi Itafahamika tu.....

Watz wanataka Tundu Lissu awe rais wao
 
Back
Top Bottom