Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Lissu ni mtu muongo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili timamu wanajua TL ni tishio ndiyo maana wanahangaika kumjibu hata yasiyojibika! Unafikiri wanapenda kuweka picha zao barabarani kwenye miti!!Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Kwa hakika huu ni mpango kamilifu kabisa wa Mungu aliye hai na wala si wa mwanadamu. Lissu ni mfano wapakwa mafuta wa BWANA, ambaye ni Daudi, huku huyu Mzee Baba akiwa ndiye mwenyewe mfalme muovu Sauli.Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni...
UPDATES
Hapa ni jimbo la Makambako Mkoa wa Njombe
View attachment 1569763
Bashite hujawshi kuwa na akili sisi watanzania ambao sio warundi kama Magufuli tunamchagua Lissu Magufuli arudi kwao burundiLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Vibwengu mnatoa vishuzi wakati mzee akisikia sauti ya lissu anapagawa mpk anamsingizia kushiba ugali wakati amekula viaziLissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.
Mwenyekiti wa Tume anatumika na Mabeberu kumuhujumu Bwana MagufuliSisi CCM tunampinga mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kwanini hajamkata TL. Ametuletea mtihani mkubwa.
Sema umeamua usitushilikisheLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!
Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Inaweza ukawa unasema watanzania unanihesabia na Mimi Kama nimemkataa TL badilisha kauli sema wewe sio wote usemee moyo wako tuLisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa Rais!
Watanzania tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
bebelu, laisi ndio kitu gani!?Lissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.
[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Uhakika asahau kuchukua nafasi ya urais
Wewe mkweli mbona hugombei ujaze uwanja kuzidi TL? Kiwewe ,😆😆😆😆😆Rissu ni mtu muongo xana
Ataenda kuomba kama alivyoomba Magufuli.Huyu Lisu tunamsubiri ataenda kuombaje kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla