Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!

Hahahaha bashiru Ana kazi kubwa sana kwa vijana wake wa mitandaoni
 
Sisi CCM tunampinga mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kwanini hajamkata TL. Ametuletea mtihani mkubwa.
CCM Ni Kama vile darasa la 'HKL' mmeletewa mitihani wa 'Advance mathematics' (TL )kipindi Cha Annual Examination!

Lazima kijasho cha sehemu ya haja kiwatoke![emoji16][emoji16]
 
Wakuu kumekucha tena , na kwa kweli muda ni mfupi mno , tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni , Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA
=======
Facial expression ya Tundu Lissu inasema mengi juu ya ushindi wake ujao
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!
Lisu na wewe nani anajisumbua ona mishipa ya shingo ilivyokutoka kura ni siri yetu sisi wananchi tunawacheki tu mnavyotudhau kwa kutuletea wakata viuno tueombe uzima
 
Lisu anajisumbua bure anajua kabisa hawezi kuwa rais!

Watz tumeshaamua kwamba hatuwezi kuchagua mtu ambae ataongoza nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam!

Haaaa haaaa, pale simba inapoiambia Yanga isijisumbue maana haitabeba kombe! Mimi ni mtanzania Lisu ndio chaguo langu.
 
Kama unachambua siasa na hujui nani atashinda uchaguzi huu basi unachambua kwa mahaba sana.
Inakuaje unashindwa kujua kwamba Magufuli ananafasi kubwa ya kushinda mwaka huu.
Kila ninaeongea nae nikimwambia tuweke dau juu ya nani atashinda anakataa.
Nilieweka nae dau mwaka 2015 akiamini EL atashinda nikala hela mwaka huu kakataa kuweka dau.
Tutarudi hapa baada ya October 28 kusikiliza malalamiko ya wanasiasa.
Wanasiasa wanashida Sana sie tunaoangalia Siasa Kama gemu tu tunaraha Sana.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom