4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kura za mwaka huu nimeamin zinaweza kwenda vunja record tangu vyama vingi kuwepo,kwa lissu watu wanajimwambafai tu ,lissu kaisha shindikana na tiyari amekua tishio Yani mwanaume anapatua katikati ya adui na wanapoteana balabala inabaki nyeupe ,hiki sio kimbunga Tena lissu 2020 Bali ni balaaumekuja kufanya nini sasa ?
View attachment 1574697
Mwaka huu dada jamaa atatujambisha cheche tuwe wapole tu!CHADEMA angalieni mtu wenu Lisu anachosema hapo kigoma badala ya kunadi wagombea wa CHADEMA wa ubunge na udiwani angalieni anachonadi anasema wamchague mbunge au diwani yeyote atakayeishinda CCM!! Ina maana wachague yeyote awe ACT WAZALENDO,CUF CHAUMA au yeyote je hiki nyie CHADEMA ndicho mlichomtuma mgombea uraisi wenu Tundu Lisu akinadi? Hamkumtuma aende kunadi wagombea wa CHADEMA? Zanzibar aliacha mgombea Uraisi wa CHADEMA zanzibar akaanza kumnadi Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!!!
Kafika Kigoma anataka Kigoma wamchague yeyote yule hanadi wagombea wa CHADEMA!!!!
Mbowe sitisha kugharimia hizo kampeni zake unapoteza pesa bure ila kama anajigharimia haina shida wacha aendelee kuteketeza pesa zake
Mbowe huna mgombea uraisi huna
Pole kada ,ndo matatizo ya dunia vumilia na mungu akupe ujasili mkuu ,watu usema dunia inaenda Kasi ,upepo wa mh lissu ni mungu ndo anajuaMwaka huu mkuu Sisi CCM mpaka tujambe cheche jamaa kinatupeleka kama tuko kwenye gari bovu! Tulitaka kuliharibia mkutano pale Kigoma lakini limetufunika! Tuwe wakweli CCM pumuzi yetu inakata!
Yaani wewe acha tu! Ina maana mwenyekiti wetu pamoja na mbinu za kubumba tukio la kitaifa pale Kigoma raia walikimbilia kwa Lissu? Kweli Lissu ametukamata! Hiyo nyomi siyo ya kawaida!Pole kada ,ndo matatizo ya dunia vumilia na mungu akupe ujasili mkuu ,watu usema dunia inaenda Kasi ,upepo wa mh lissu ni mungu ndo anajua
Tabia utofautiana, uenda mabadiliko yakawepo kama kutotaifishiwa mazao, kulipa wazabuni mbalimbali kwa wakati, najifuza Nchi inaendeshwa kulingana na tabia ya mtu!Ko unaamin Lissu ndo atafanya hayo😀😀😀 mbona mnakuwa manipulated kiboya Sana wazee,
Katiba Mpya baada ya watu kupata ufahamu wa kutoshaChadema sera wameandika wenyewe mojawapo Ni ya katiba mpya
Chadema wanashindwa kabisa kueleza swala la katiba mpya ,katiba mpya huandikwa Nchi ikipata Uhuru baada ya hapo hufanyiwa marekebisho tu haitwi katiba mpya!!
Kikichopo Ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!
Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda
Serikali dhalimu na Dikteta huwa wanafanya nchi na wao kama serikali na kiongozi kuwa kitu kimoja Eti ukimkosoa dikteta umekosoa nchi Ukipinga sera za serikali, we msaliti wa nchi Kiuhalisia unaweza kupinga serikali, kiongozi na kwa kufanya hivyo ukawa mzalendoChadema sera wameandika wenyewe mojawapo Ni ya katiba mpya
Chadema wanashindwa kabisa kueleza swala la katiba mpya ,katiba mpya huandikwa Nchi ikipata Uhuru baada ya hapo hufanyiwa marekebisho tu haitwi katiba mpya!!
Kikichopo Ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!
Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda
Chadema sera wameandika wenyewe mojawapo Ni ya katiba mpya
Chadema wanashindwa kabisa kueleza swala la katiba mpya ,katiba mpya huandikwa Nchi ikipata Uhuru baada ya hapo hufanyiwa marekebisho tu haitwi katiba mpya!!
Kilichopo ni marekebisho ya katiba wao wanasema Ni katiba mpya!!!!!
Sera muandike wenyewe Halafu kufafanua zinawashinda
Chadema hawakujiandaa kugombea uraisi