Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi .
Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano ya kuomba ridhaa ya watanzania mkoani Simiyu , ambapo itapigwa mikutano kadhaa .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa za uhakika
========
Your browser is not able to display this video.
Aingia Bariadi kwa kishindo

Attachments
Subpost 2 - Muda huu mapokezi ya Mhe. Tundu Lissu jimbo la Bariadi. Wapiganaji ( 352 X 640 ).mp4
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Safi sana na kila la kheri kwa Mh Tundu Lissu katika Safari hii inayo wahusu Watanzania wapenda Uhuru Haki na Maendeleo ya Watu ,Mungu awabariki sana Ndugu zangu.
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Acha ushamba mtu amelala kaamka kakutana hiyo nyomi hapo bado kwenye mkutano wenyewe punguzeni wivu kama nyegere akikutana na jani anaona wivu upuuzi mtupu
Mkuu CCM siku inaanguka hadi wanyama pori na wadudu watambaao watajua kuna jambo limetokea nchini kwao. Kila kiumbe hai nchini kitatikiswa.
Anafanya vizuri ila sioni wala mazingira ya Kushinda kihalali hats kwa hila naona atashindwa. Ila anaweza kuwa stepping stone ya kuimalizia KAZI yake 2025 akiwa makini miaka hii 5 asitolewe masikioni mwa wananchi