Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Shida yake wewe ushakata tamaa, jiandar this time lzm waiteme ndoano waliyoimeza
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
 
Huyu mbabe hatari. Hata akishindwa Ccm watakuwa mapafu yote chali.
Kwa kura nakataaa yaani kwa hizi kampeni za ccm za hila na njama na kuzoa wanafunzi watu wa kutoka mbali kujaza vichwa na wengine kupewa wekundu wa msimbazi na wasanii juuu,vyombo vya habari vyooote ili kuuza kisichouzika huyu hana hata bango nchi nzima hana kituo chochote kinachorusha live hana wasanii halafu unasemaje wewe yaani safari hii ukisikia maji ya utosi yamewafika mataga kifo cha mende

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kuna voting na vetting. Nasikia rais huwa rais kwa vetting sio makaratasi.
Ila hili sins uhakika nao
 
Acha ushamba mtu amelala kaamka kakutana hiyo nyomi hapo bado kwenye mkutano wenyewe punguzeni wivu kama nyegere akikutana na jani anaona wivu upuuzi mtupu

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unapanic nini sasa? Hiyo ni 2010 tukikuonesha za Lowasa 2015 unaweza kuzimia kabisa!

Mimi sijui kama hata mnaelewa maana ya siasa, yani mtu kujaza hako kakikundi ka watu ndio uanona tayari kashashinda? Akienda JPM hapo una habari kwamba atapata watu wengi zaidi ya hao?

Lisu hapati hata 20%
 
Hii ni Lamadi? Umekurupuka mwamba! Hapo ni kijijini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo ni wapi sasa? Nyie bado wachanga mkiona hivyo vikundi anavyokusanya Lisu mnapagawa!

Wakongwe tuna wazoom na kuwaacha mjifariji tu.
 
Anafanya vizuri ila sioni wala mazingira ya Kushinda kihalali hats kwa hila naona atashindwa. Ila anaweza kuwa stepping stone ya kuimalizia KAZI yake 2025 akiwa makini miaka hii 5 asitolewe masikioni mwa wananchi
Usitucheleweshe na hizo 'ila' zako.

Hakuna wakati mwafaka wa kuiangusha CCM kama ilivyo sasa hivi.

Isipotokea safari hii, CCM haitaanguka tena.

Baada ya hapa CHADEMA itafutika kabisa, haitakuwepo tena.

Wakati ndio huu, hakuna kesho.
 
Back
Top Bottom