Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Tuwekee na ile footage ya Dutwa mkuu
 
Subirini kugaragazwa October 28th maana JPM atashinda kwa kishindo.

October 28th kura zote kwa JPM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hayo mapokezi yanatisha sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli. Kila jambo lina wakati wake. Slaa alikuwa na wafuasi lakini sio hawa wa Dodoma, singida, Geita na Katavi.

This time Lissu anakumba woote kanda zoote.
On top of that umaarufu wa Lissu unaongezeka Kila Siku wakati wa Yohana unapungua.
 
Kwetu kanda ya ziwa ishara ya vigelegele kwa kina mama ni heshima kubwa mno mno kwa Lissu.
 
Acha arguments za kijinga. Unaijua Lamadi wewe? Ni mji mdogo ambao hauna watu wengi kiasi hicho unacholinganisha. Ama unataka wasombwe kwenye malori toka miji mingine kama yule mshamba anavyofanya? Ama unataka shule zifungwe ili wanafunzi wahudhurie pia? Au wafanyakazi watishwe kufukuzwa kazi kama wasipohudhuria? Watu wengine washamba sana (Nape na Kinana walisema).
 
Ni yeye Rais Lisu
Watanzania sasa tujiandae kwa mabadiliko !! Lissu ni Rais.

CCM wapo hoi bin taaban wao na mgombea wao.

Cha ajabu na wasanii nao wameanza kuchoka kuita watu kwenye kampeni...
 
Ninacho amini ni kuwa kama Lissu angekuwa anagombea na mtuu kutoka kanda nyingine sio hii, 29/10 asubuhi saa nne Chamwino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…