Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Enzi za Slaa mikutano iliruhusiwa, bunge lilikuwa live, wapinzani walikua hawatekwi kama sasa, media zilikua wazi, Rais hakuwa popular kabisa n.k

Sasa Lissu kaja kipindi ambapo Rais yuko popular yaani tv zote ni yye tu, viongozi wamekimbilia CCM, hakuna media coverage, no mikutano, vitisho na kutekana n.k kupata nyomi kma hilo unafikiri ni rahisi?

Sasa imagine ingekua ndio siasa zipo huru kma enzi za Dk Slaa? Si jamaa angekuwa ametangazwa mshindi hata kabla ya kampeni kuanza
 
Mwambie aende bila boss wake Diamond (maana kuna mtu kaniambia jpm ndio manager wa Diamond siku hizi) kama hataishia kupiga kelele namna hii kama aliye pagawa majini.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa nini mnapenda kutumia mafuriko ya Lowasa? Acheni ujinga bwana
 
Taarifa za uhakika au majungu? Propaganda zenu, zina mwisho na hivi sasa zimekaribia ukingoni.


 
Taarifa za uhakika au majungu? Propaganda zenu, zina mwisho na hivi sasa zimekaribia ukingoni.
Tumekuwekea hadi video ujionee mwenyewe , Je Tatizo ni bando ?
 
Reactions: Ole
Kwakuwa unaishi kuzimu basi haina shida..ila kaa ukijua October 28th tutamchagua JPM kwa kishindo.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sijawahi kuona muhaya mshamba Kama wewe!! ndugu zako wanalia bei ya kahawa imeshuka,, wewe unaleta utolopo wako hapa!! Wahaya wenzio wanalia kwa matusi waliyotukanwa!! mara mto ngono, mara tetemeko, na pesa za maafa zimeliwa! We unaleta pumba zako hapa!! wenzio wanalia yani weeee!! jinga kweli!!
 
Acha kucheka mkuu Erythrocyte mzee anahitaji tiba, Lissu ameleta matatizo makubwa sana.
Kweli Lissu kiboko!

Aslimia 90% TUNDU ANDIPAS LISSU AMESHINDA KWA KISHINDO MAJUKWAANI (CHADEMA)

7% inakwenda kwa CUF lipumba
Kwasababu hao wote hawatumii wasanii na wala hawana mabango

3% CCM MAANA KILA KITU WAMEPOKONYA KAMA IGUATAVYO
DRONS
MABANGO
HELCOPTER
RADIO
MAGAZETI
TV
WASANII
POLICE
NEC
NA BADO WANANCHI HAWAWATAKI.


Sasa niombe team ya Lisu sasa wajikite kwenye ushindi huko ndani yaani ccm ndani huko ,vyombo vya ulinzi na usalama na mwisho nec ili mabadiliko wayatakayo wananchi wayapate.
Najua walioshika nchi miaka 50+ sio rahisi kuachia lakini panahitaji sana msuli na lugha moja katika siku hizi chache zilizobakia. A serious and extensively organization
 
Reactions: Ole
Leo kulikuwa hakuna movie ya kuzuiwa magari yenu kwenda Simiyu
 
Reactions: Ole
utakimbia mwenyewe , endelea kubwabwaja
Nikimbie ili iwe nini? Maneno ya kukariri hayo. Tanzania haitakubali makuwadi wa kigeni kututawala na huyo kuwadi wa Amsterdam na vinyago wenzake.
 
Majibu ya maswali yetu kutoka kwa mgombea Lissu tutayapata lini! Ni yale maswali tuliyomuuliza kupitia jukwaa hili.
 
Kwa pamoja wewe na familia yako mtoke kifua mbele tukampigie kura JPM kwa maendeleo ya Tanzania huyo mwingine tarehe 29 October atakuwa Brussels.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Reactions: Ole
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…