zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Enzi za Slaa mikutano iliruhusiwa, bunge lilikuwa live, wapinzani walikua hawatekwi kama sasa, media zilikua wazi, Rais hakuwa popular kabisa n.kHujui umati weweView attachment 1600864
Sasa Lissu kaja kipindi ambapo Rais yuko popular yaani tv zote ni yye tu, viongozi wamekimbilia CCM, hakuna media coverage, no mikutano, vitisho na kutekana n.k kupata nyomi kma hilo unafikiri ni rahisi?
Sasa imagine ingekua ndio siasa zipo huru kma enzi za Dk Slaa? Si jamaa angekuwa ametangazwa mshindi hata kabla ya kampeni kuanza