Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Lete update mkuuKama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1601870
========
Bia yetu umeamua kubadili idKamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Nani sasa anayejitoa ufahamu?Jitoe fahamu...
Umeona eee!!!? Kazomewa hata dikteta uchwara kule Kagera, Busega na Bunda mbele ya vifaru vyake.Kuzomewa kwenye siasa ni kawaida
Yah ni kweli kabisa watu wamekesha huyu LISSU katumwa na MUNGUNimesoma mahali huko urambo watu wamekesha wakimsubiri Lissu na SAS wanahofu ya huruma kutoka kwa Viongozi wa serikali
Huyo jambaz mlinda mafisa ccmmHizo ndoto zinakwenda kukoma tarehe 28 Oct kisha tunaanza kujenga strong middle Economy mpaka Magufuli akamalize tunaweza kuwa among the 5 countries with strong economy.
Hazitapungua 6MKamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Inaleta faraja kwa masikini imebeba matumaini,imeleta Hali ya watz kupiga kura,hata Kama ningekuwa na harusi siku hio au safari ningehairisha ili nitende hakiHotuba za Jemadari Lissu ni kama Dawa ya Stress hata kama hujapata mlo unajihisi umeshiba
Hizi ni dalili njema kuwa Chadema kimesambaratisha CCM mpaka wamepagawa hehehe..Bi
Bia yetu umeamua kubadili id
Mbona tunashindia mihogo na kachumbari ufipa, acha upuuziHotuba za Jemadari Lissu ni kama Dawa ya Stress hata kama hujapata mlo unajihisi umeshiba
Wewe, unajifanya uko Geita,jana tu nimekununulia chai.Nani sasa anayejitoa ufahamu?
Nduli....kaanza kufungasha Taarifa...Uchaguzi huu ni Kati ya anetetea kiti chake Cha Urais,na adui wa Taifa anetetea masilahi ya wazungu.
Chama kina mizizi heri amuachie Lisu kuliko wasaliti wa mabadilikoMwenye chama DJ Mbowe baada ya uchaguzi anamuundia zengwe Mbelgiji maana anaweza kumpora chama mchana kweupee.
Siku 7 alizofungiwa ilikuwa ndiyo ratiba ya huko mikoa ya kusini. Sasa ni bahati mbaya ratiba huwa unatolewa na tume na ni fixed.Hivi Lissu atakuja lini songea ruvuma?
Kuna mtu alijikamua juzi sijui kama alitoka salama pale Kawe bila kuwahi maliwato....nileteeni gwajimaaaaaaaa
Acha ulaghaiMbona tunashindia mihogo na kachumbari ufipa, acha upuuzi
Wewe, unajifanya uko Geita,jana tu nimekununulia chai.
Hapo tujiandae kulipa hadi kodi za matako kufikia huo uchumiHizo ndoto zinakwenda kukoma tarehe 28 Oct kisha tunaanza kujenga strong middle Economy mpaka Magufuli akamalize tunaweza kuwa among the 5 countries with strong economy.
Mkuu wasalimie sana Ipole ntapita hapo na elekea Mpanda ...huku mjini Nnobhora mambo ni motoooo....Lissu karibu sana Tabara kwetu, wanyamwezi ni watu wakarimu mno..... hapa ndipo chimbuko la wapigania haki na demokrasia ya kweli walitokea hapa....
Kijiji cha Ipole Sikonge ndipo alipozaliwa na kuzikwa Mwanamapinduzi nguli... Oscar Kasangatumbo (R.IP) ambaye alikuwa miongoni mwa waasisi wa mageuzi nchini 1992 kwa kuanzisha chama cha UMD na wapigania demokrasia ya kweli tangu enzi za Mwalimu.
Alipata misukosuko mingi sana, kunyanganwa passport, kuibiwa ngombe zake zote na kuwa grounded kwamba asitoke nje ya mji wa Tabora bila idhini ya IKULU baada ya kutuhumiwa kupinga SERA za TANU za ukandamizaji wa uhuru wa kidemodrasia.
Karibu sana, Tabora ndiyo ilipo mizizi wa siasa za Upinzani na watetezi wa haki za binadamu - Tanzania.
Jioni waambie wenyeji hapo wakupatie Ugali na mboga ya nsansa iliyoungwa kwa tui la karanga.... chakua hiki huwa ni speical kwa wageni maalum kama wewe.
Karibu tena Tabora - Rais wetu.
Umechoka kamanda!Kamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Nimependa Jina ulilopewa hapo juu kwamba linakufaa "Kumanda"Makamanda wenzangu watachukia.
Hata aibu hauna ?Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.