Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
😂😂😂😂 Likitimia unaloliwaza, kuku wataanza kukojoa.Nduli....kaanza kufungasha Taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Likitimia unaloliwaza, kuku wataanza kukojoa.Nduli....kaanza kufungasha Taarifa...
usidangaye watu CUF ishajifika kitambo, CCM inapumlia mashine...Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
Wapenda ccm wengi mnaakili ila inashangaza mnavyajitoa akili kwa sababu ya njaa na hofu, mwangalie Dt bashiru, polepole, kafulila, lowasa na ww mmejitoa akili. Maisha magumu, watu wameuawa, hakuna uhuru wa habari, hakuna binge n.k.Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Hiiiiiiiiii.Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
Sasa hiyo CCM miaka 60 iko madarakani imetufikisha wapi...!!?Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Mi nipo vizuri kabisa na sijui pombe inanoga vipi na nina elimu yangu nzuri tu ila nipo chademaWanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Hapa anazungumziwa Mgombea! Suala la vyama kwa sasa hakuna Chama chochote chenye mvuto, wote ni hovyo kabisa!Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Aombe asiombe !!!! Ukichimama nchale! Ukikaa nchale!Lazima dikteta aombe poa
Mpelekeeni TBC ili kumuumbua,kwa nini mnamchungulia kupitia youtube,Twitter au Instagram?Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.
Hana kazi ya kufanya unamjua? Acha mawazo ya kimasikini kijana. Hawa wote wanaotumia muda wao kuipigania Chadema 98% ni watu wanaojiamini na walichonacho ndio maana hawalambi makalio ya wenye madaraka ili waishi.Huyu jamaa Erythrocyte kaamua aokoe jahazi la kitengo cha habari Chadema.chama kimpe hata mshahara wa 50k maana huyujamaa hanaga kazi za kufanya.
Nenda ofisi ya CAG ukapewe taarifa za fedha za vyama vya siasa uone ni Chama kipi huwa kinapata hati safi Mara kwa Mara.Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Mwenye chama DJ Mbowe baada ya uchaguzi anamuundia zengwe Mbelgiji maana anaweza kumpora chama mchana kweupee.
Like kama zooooooooteTabora imelipuka kwa Furaha kumlaki MKOMBOZI ...tupo hapa Oxygen tunajipongeza WANYAMWEZI wanajambo LAO 28....
Wewe niwakili wake kakuajiri uje umtetee mahakama ya mwanzo!?Hana kazi ya kufanya unamjua? Acha mawazo ya kimasikini kijana. Hawa wote wanaotumia muda wao kuipigania Chadema 98% ni watu wanaojiamini na walichonacho ndio maana hawalambi makalio ya wenye madaraka ili waishi.
Unaweza kukuta mkuu Erythrocyte pamoja na kupoteza muda wake mwingi kutuhabarisha anachangia pia kwa hali na Mali shughuli za kampeni.
Chadema sio CCM ambayo hata hela za kampeni (ambazo mnachota hazina) nazo wanapiga.
In short, Chadema haina masikini wa akili wala Mali.
Inaonyesha somo LA historia ulikuwa bingwa kwenye shule yako ya kata!Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
Unachokiongea hakiendani na misingi ya demokrasia. Halafu umejuaje? Au ndio algorithm za wasimamizi zinavyosema?Kamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Wewe jamaa ndo mwanachadema unaejitambua.
Wewe jamaa utakuwa unawashwa sio bureKamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2