Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #161
Urambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapigiwa lakini hapatiKamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Lijualikali at work!Kamanda tukubali ukweli Chadema imekufa kifo cha mende,tujipannge
Nireteeeeeeni Gwajimaaaaaaaa! Bob Marley.........Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
aisseeeh ndo maana ...Mkuu wewe noma umemyopoa mbulumundu huyu.....Lijualikali at work!
Huoni Mataga wenzio walivyo pagawa, pamoja na kuhodhi vyombo vyote vya Habari,na mabango nchi zima,lakini imebidi waje kuomba kura za kwenye Twitter,
CCM kutoka chama Tawala hadi chama cha fiesta na mabango.
Kumbe Askari wa Magufuli wana adabu hivi, nawaona wanampigia saluti Lisu anapopita njiani!.
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1601870
========
Wananchi wa Kata ya Puge jimbo la Nzega Vijijini wasimamisha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Msafara wa Mhe. Lissu unaelekea Urambo na Tabora mjini kuendelea ratiba zake za mikutano ya kampeni leo Oktoba 16, 2020.
View attachment 1602024View attachment 1602025View attachment 1602028
View attachment 1602017

[/QUO

Maskini Lisu!!!
Mwacheni akate kipande chake, labda siku moja mbuyu utaanguka, huwezi jua
Wahenga walisema, Bandubandu............
Hahaaa!!!Ko umezoea kubanduliwa?
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1601870
========
Wananchi wa Kata ya Puge jimbo la Nzega Vijijini wasimamisha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Msafara wa Mhe. Lissu unaelekea Urambo na Tabora mjini kuendelea ratiba zake za mikutano ya kampeni leo Oktoba 16, 2020.
View attachment 1602024View attachment 1602025View attachment 1602028
View attachment 1602017
Hii nini Mzee kaka!!!??
Kajinga weee, kapuuzi, ninafatilia mikutano ya Lissu kila siku YouTube , ikiwa Live au lah .Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.