Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Wewe niwakili wake kakuajiri uje umtetee mahakama ya mwanzo!?
Mwerevu aonapo ujinga na kuunyamazia anaendekeza ujinga naye anakuwa mjinga. Siwezi kuwa mjinga kwa kuendekeza ujinga hapa home of great thinkers.
Kwa nini huo ujinga usiupeleke huko FB kwa wenzako?
 
Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
Not true - ushindani upo kati ya vyama viwili - CCM na CDM
 
Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.
Acha kujifariji !Huku hatuna wasanii,hatubebi watu kwenye maroli,hatupigi magoti kuomba kura tunakubalika !Hatuna roho mbaya ya kikatili !
 
Zimebakia siku 12 ndio wanajaribu kushawishi wapiga kura,

CCM tumeshamaliza Miaka 4 iliyopita , wapiga kura wametuelewa na tunachosubiri tu ni kufunga mahesabu yetu Oct, 28.

CCM ushindi ni dhahiri.
 
Hapa Morogoro CDM tulishaizika sioni hata Bango la mgombea wa Chadema ni Magufuli,Abood na Samia ndo habari ya Mjini
 
Mwerevu aonapo ujinga na kuunyamazia anaendekeza ujinga naye anakuwa mjinga. Siwezi kuwa mjinga kwa kuendekeza ujinga hapa home of great thinkers.
Kwa nini huo ujinga usiupeleke huko FB kwa wenzako?
Tulia wewe zezeta.
 
Back
Top Bottom