Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
Nireteeeeeeni Gwajimaaaaaaaa! Bob Marley.........
 
Apokelewa na ndoo tupu kuashiria uhaba wa maji
Your browser is not able to display this video.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Huoni Mataga wenzio walivyo pagawa, pamoja na kuhodhi vyombo vyote vya Habari,na mabango nchi zima,lakini imebidi waje kuomba kura za kwenye Twitter,
CCM kutoka chama Tawala hadi chama cha fiesta na mabango.

Mzee mmoja milimani ananiambia, ikitokea watu wawili wamapeleka sokoni kwenda kuuza. Mmoja amepeleka mbuzi na mwingine anapeleka Nyani.

Watu wa sokoni wata jaa kumuona Nyani kwa kuwa hawajamuona, lakini wataondoka na Mbuzi kwa sababu ndio kitoweo walicho kifuata sokoni.

Niweke akili sawa.
 
Chadema walikotoka na wanakoenda, kule wanakotoka ni pafupi zaidi kuliko huko waendako!!

Maana kuukata mbuyu yahitaji gharama nyingi zaidi, Kuna zaidi ya miaka 30 mingine mbele ili kutuangusha mbuyu,

Mwacheni Mh Lisu naye ajaribu kukatakata kipande chake, akichoka aje na Ndugu yetu mwana Jf mwenzetu Tindo ajaribu naye

CCM si ya kung'olewa Kwa mtindo huo never, mtakapochoka, mtasema ili tuwape Mbinu za kuing'oa CCM

Maskini l
 
Maskini Lisu!!!

Mwacheni akate kipande chake, labda siku moja mbuyu utaanguka, huwezi jua

Wahenga walisema, Bandubandu............
 
Mkuu kiongozi ,barikiwa Sana ,pamoja na kutoa pesa yako ya bando ila bado umekua mtu mhimu pitia hapa jf kufikishahabari, wenda ukaona ulichokifanya katika kampeni hizi ni Jambo dogo ila ni kwambie umefanya Jambo kubwa, kampeni hizi umekua chanzo kizuri Cha taharifa nami niseme
Mungu akuongezee pale utoapo,Kila sehem ukanyagapo mguu wako uwe dhaabu, 2021 Mambo yako yanyohoke katika Kila namna na imekua ,barikiwa sana
 
Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.
Kajinga weee, kapuuzi, ninafatilia mikutano ya Lissu kila siku YouTube , ikiwa Live au lah .

Unakuta Ulisoma kwa kuunga ungaa sababu kichwan umejawa na ujinga na matope

Ukajikongoja weeeeee mpaka umefika hapo..

Sasa hiyo haiondoi ukweli kua, uwezo wako wa kichwan ni mdogooo mdogoooooo sanaaaa.

Alafu bado ukawa mwanaCCM ..

Ndo kabisa, ukazidi kuongeza utahira kwenye kichwa kilichojaa minyoo namatope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…