Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huku siku zikizidi kuyoyoma kwa kasi kubwa kuelekea tarehe ya kupiga kura , Mh Lissu naye anaendelea kuchanja mbuga hapa na pale ili kuomba kura kwa wananchi .

Leo anaendelea na mikutano yake Mkoani Tanga ambapo kutapigwa mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ikiwemo Korogwe , Muheza na Tanga Mjini .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa za Uhakika .

Instagram media - CGlMr_aAatU ( 640 X 640 ).jpg

========

Korogwe vijijini

Subpost 4 - Korogwe Vijijini Wamesema Ubunge wanakwenda na Bi.Aminata AS Saguti  ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Korogwe Vijijini Wamesema Ubunge wanakwenda na Bi.Aminata AS Saguti  ( 359 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Korogwe Vijijini Wamesema Ubunge wanakwenda na Bi.Aminata AS Saguti  ( 360 X 640 ).jpg

Mombo :

Tanga Mjini

Sheikh Ponda akiunguruma Tanga Mjini

Lissu Tanga Mjini

Asante kamanda Erythrocyte Mwambie Rais Mtarajiwa asisahau kutoa elimu ya mpiga Kura.....

Watanzania wazalendo waliochoshwa na uhuni wa kuteka na mauaji, kubambikiwa kesi za uwongo, walioumizwa na kikokotoo, Fao la Kujitoa, wakulima, wafanyabiashara,mavuvi, wafugaji nk tunamwombea Afya Njema katika kukamilisha Kampeni zake.
 
Asante kamanda Erythrocyte Mwambie Rais Mtarajiwa asisahau kutoa elimu ya mpiga Kura.....

Watanzania wazalendo waliochoshwa na uhuni wa kuteka na mauaji, kubambikiwa kesi za uwongo, walioumizwa na kikokotoo, Fao la Kujitoa, wakulima, wafanyabiashara,mavuvi, wafugaji nk tunamwombea Afya Njema katika kukamilisha Kampeni zake
Nikiona Raia Waelewa Kama Wewe
Najipiga Kifua Najisemea "Freedom Is Coming Tomorrow"

#NiYeye
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Dikteta akiona hivyo anapanic
 
Nikiona Raia Waelewa Kama Wewe
Najipiga Kifua Najisemea "Freedom Is Coming Tomorrow"

#NiYeye
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Dunia ya Sasahivi Mtu anaelalamika Anaitwa Muelewa [emoji23][emoji23][emoji23]

Tena vitu vingine ni Uongo na kukosa Taarifa Sahihi juu ya jambo husika
 
Kuleta thread bila updates za kinachozungumzwa na Lissu ni kutuchosha.

Mnaishia kuweka picha bila maelezo yeyote. Sijui huko CHADEMA mmekuwaje!
 
Anafanya utalii wa ndani hakuna jipya atakalopata,jana nimeona alikuwa milima ya Usambara anafanya utalii.
 
Ata yeye Lisu anajua anakwenda kushindwa vibaya Ila anacho ogopa ni kushindwa kwa aibu,Ila Hakuna budi ilo kutokea.
 
Kuleta thread bila updates za kinachozungumzwa na Lissu ni kutuchosha.

Mnaishia kuweka picha bila maelezo yeyote. Sijui huko CHADEMA mmekuwaje!
Unayo hoja , lakini nimejitahidi sana ku update hata kwa kuweka video mkuu , hebu nitendee haki kidogo , inawezekana sijakuridhisha kwa 100% lakini naamini najitahidi sana , huwa tunaweka video ili kupunguza kuandika maneno mengi .

Nakutakia ufuatiliaji mwema
 
Back
Top Bottom