Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga



Tunawaondoa waovu kwenye madaraka!



One Love! One Heart! Let's get together and feel all right. People get ready to cast your vote on 28/10/2020!
Vote for Freedom, vote for Justice and vote for Development. Vote for Mh. Tundu Antiphas Lissu!
Asanteni Tanga, nimekubali mko tayari kwa mabadiliko...ujumbe mlioutoa umewafikia Watanzania popote walipo!​
 

We are Survivors! Kumekucha Tanga, Mh. Tundu Antiphas Lissu kanyaga twende. Tarehe 28/10/2020 ni siku kuu, siku ya kuondokana na manyanyaso, siku ya kuondokana na madikteta uchwara, siku ya kuondokana na washamba na limbukeni. We are marching On...
 
Dadade

We are Survivors! Kumekucha Tanga, Mh. Tundu Antiphas Lissu kanyaga twende. Tarehe 28/10/2020 ni siku kuu, siku ya kuondokana na manyanyaso, siku ya kuondokana na madikteta uchwara, siku ya kuondokana na washamba na limbukeni. We are marching On
La haula!!!
 

We are Survivors! Kumekucha Tanga, Mh. Tundu Antiphas Lissu kanyaga twende. Tarehe 28/10/2020 ni siku kuu, siku ya kuondokana na manyanyaso, siku ya kuondokana na madikteta uchwara, siku ya kuondokana na washamba na limbukeni. We are marching On...
Hata Moshi hawakufikia hivi. Sijui Dar itakuaje!!🤔🤔🤔🤔
 
Wakati Jemadari Lissu na Timu yake wakipigilia misumari kwenye Jeneza la CCM
Mgombea Mwenza Salumu Mwalimu anachimba kaburi la CCM huko Musoma

 
Wakati Jemadari Lissu na Timu yake wakipigilia misumari kwenye Jeneza la CCM
Mgombea Mwenza Salumu Mwalimu anachimba kaburi la CCM huko Musoma

Shikamoo salum Mwalimu!!
CCM wanasema zalianeni tu kumbe wanajua watavuna hela wakati wa kujifungua,aisee hii ni laana
 
Wadau,

Jana tarehe 21/10/2020 mgonbea wa urais wa JMT kupitia tiketi ya CHADEMA ndugu Tundu Lissu alikuwa Korogwe kwa ajili ya kufanya kampeni.

Nilifika uwanjani pale TTC Korogwe na kukuta watu wakifungua mapazia kuonesha shughuli imeisha. Hili ndilo lililonifanya kuandika.

Kama chama kikuu cha upinzani, CHADEMA wanahitaji kuwa siriasi na kuonesha kwa vitendo kuwa wao ni mbadala wa CCM. Matangazo ya mkutano yalikuwa hafifu sana kitendo kilichopelekea watu wengi kutokuwa na taarifa kamili. Kama haitoshi, mashuhuda wanasema nami nanukuu "Mheshimiwa Lissu alipofika hapa hakukaa zaidi ya nusu saa akaondoka".

Njiani nilikutana na baadhi ya akina mama na vijana ambao walikuwa wanaenda mkutanoni ambao nao hawakuwa na taarifa kamili. Hili ni jambo fikirishi Kama chama kikubwa hivyo kinashindwa kufanya oganaizesheni ya mkutano tuu, itakuwaje kwa mambo makubwa ya nchi?

Pia mashuhuda wananiambia mkutano haukuwa na watu wengi sana na pia wahudhuriaji wakubwa walikuwa ni vijana wa kiume. CHADEMA inahitaji kujipanga na kuwa chama pendwa kwa rika na jinsia zote Kama ilivyo CCM.

Nilipowauliza wanachadema kulikoni? Wenyewe walisema kuwa Lissu ana mikutano mingi hivyo hana muda wa kukaa sehemu muda mrefu.

My take

Kampeni hizi zinatakiwa zifanywe kwa kulenga ushindi na sio kutimiza ratiba. Ni vyema kufanya maandalizi mazuri na kupata muda wa kuongea na wananchi vizuri na kuhakikisha wamekuelewa kuliko kuparaza juujuu halafu kuja kulaumu umeibiwa kura.

Povu ruksa

Amani
 
2025 watarekebisha kasoro hizi makamanda!, hata tishet, kofia na vipeperushi mzigo ulichelewa kuja kutoka Dubai kwasababu ya Covid, ila pia sio mbya kuja na mbinu mpya za uchaguzi!
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Back
Top Bottom