Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Ni watu wenye tabia za kiroho mbaya kama huyu. Ni rahisi sana kujua tabia za mtu kipindi hiki. Tazama tu anapenda siasa gani?? Then amua kuwa rafiki yake au la!
Daah kweli ni wakati wa kujua tabia halisi ya mtu then unaamua mwenyewe
 
CCM baba jeni.....

Tuliwapendaa ila..."
 
1603282088270.png
 
Asante kamanda Erythrocyte Mwambie Rais Mtarajiwa asisahau kutoa elimu ya mpiga Kura.....

Watanzania wazalendo waliochoshwa na uhuni wa kuteka na mauaji, kubambikiwa kesi za uwongo, walioumizwa na kikokotoo, Fao la Kujitoa, wakulima, wafanyabiashara,mavuvi, wafugaji nk tunamwombea Afya Njema katika kukamilisha Kampeni zake.
Ubaya au uzuri ni kwamba wengi wao hapo hawapo kwenye daftari la mpiga kura
 
Ubaya au uzuri ni kwamba wengi wao hapo hawapo kwenye daftari la mpiga kura
Aliyewadanganya kwenye hoja yenu hii ya kichovu ni nani ?
labda kwa taarifa yako na mbumbumbu wengine wa aina yako ni hivi , wote waliopiga kura 2015 mwaka huu watapiga kura tena na wamo kwenye daftari la wapiga kura , ukijumlisha na wachache waliojiandikisha mwaka huu wakiwemo watu laki moja niliowahamasisha mimi peke yangu nchi nzima
 
Back
Top Bottom