Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Tukutane hapahapa kuanzia tarehe 28 hadi 30
Mbinu pekee iliyobuma ni hii ya kutowaapisha mawakala wa Chadema , na kama ccm ingekuwa na uhakika wa kushinda kama unavyotuaminisha humu isingekubali kuleta vita kwa kugoma kuapisha mawakala wa chadema .

Wenzenu wanakesha kuhujumu uchaguzi nyinyi mnaleta masihara !
 
Mbona wameapishwa? Au unaongelea zile barua walizoforge
 
Ata yeye Lisu anajua anakwenda kushindwa vibaya Ila anacho ogopa ni kushindwa kwa aibu,Ila Hakuna budi ilo kutokea.
WaTz wengi CCM ilitufanya kuishi kwa MAZOEA. Lakini kitu kinachofurahisha idadi kubwa imeanza kuondokana na kuishi kwa mazoea. Watawala wa CCM na wafuasi wao wachache kama wewe bado wamo katika kiza cha mazoea!!!
 
Back
Top Bottom