Huku siku zikizidi kuyoyoma kwa kasi kubwa kuelekea tarehe ya kupiga kura , Mh Lissu naye anaendelea kuchanja mbuga hapa na pale ili kuomba kura kwa wananchi .
Leo anaendelea na mikutano yake Mkoani Tanga ambapo kutapigwa mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ikiwemo Korogwe , Muheza na Tanga Mjini .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa za Uhakika .
Asante kamanda Erythrocyte Mwambie Rais Mtarajiwa asisahau kutoa elimu ya mpiga Kura.....
Watanzania wazalendo waliochoshwa na uhuni wa kuteka na mauaji, kubambikiwa kesi za uwongo, walioumizwa na kikokotoo, Fao la Kujitoa, wakulima, wafanyabiashara,mavuvi, wafugaji nk tunamwombea Afya Njema katika kukamilisha Kampeni zake.
Asante kamanda Erythrocyte Mwambie Rais Mtarajiwa asisahau kutoa elimu ya mpiga Kura.....
Watanzania wazalendo waliochoshwa na uhuni wa kuteka na mauaji, kubambikiwa kesi za uwongo, walioumizwa na kikokotoo, Fao la Kujitoa, wakulima, wafanyabiashara,mavuvi, wafugaji nk tunamwombea Afya Njema katika kukamilisha Kampeni zake

Unayo hoja , lakini nimejitahidi sana ku update hata kwa kuweka video mkuu , hebu nitendee haki kidogo , inawezekana sijakuridhisha kwa 100% lakini naamini najitahidi sana , huwa tunaweka video ili kupunguza kuandika maneno mengi .