Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

Sasa brother si bora ungegeuza upande tu. Yaani uwe unabangua bangua hizo angle? Kuliko kuanza kwa kuponda ponda kutakuchelewesha.
Ndivyo shetani anatakiwa kuadhibiwa mkuu [emoji23] tusimuonee huruma huyu..
 
Siyo kila anayewakosoa ni CCM
Ukosoaji unaruhusiwa ni fursa ya kujirekebisha, to make reforms.. lkn ukikosoa kwa kuzodoa, we will shun away from you! as our opponent and be handled accordingly
 
All the best Next JMT president
 
Nikiona Raia Waelewa Kama Wewe
Najipiga Kifua Najisemea "Freedom Is Coming Tomorrow"

#NiYeye
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Acha kuumiza kifua chako kwa kujipigapiga Independence hence Freedom ilishapatikana 9/12/1961...bado itabidi tumtafute mwalimu wako wa historia atuambie vizuri kwanini hakufanya kazi yake kwa weledi?

October 28th kwa pamoja tukachague MAENDELEO na wakuyaleta si mwingine zaidi ya CCM wakiongozwa na Mzalendo wa kweli Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nikiona Raia Waelewa Kama Wewe
Najipiga Kifua Najisemea "Freedom Is Coming Tomorrow"

#NiYeye
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Unakunywa na Bia pembeni
 
Kuleta thread bila updates za kinachozungumzwa na Lissu ni kutuchosha.

Mnaishia kuweka picha bila maelezo yeyote. Sijui huko CHADEMA mmekuwaje!
Kwa leo mtatusamehe tuna mambo mengi ya kudanya kwa wakati mmoja. Wanachama na wapenzi wa mabadiliko mtuvumilie.

October 28 tumalizane na ccm
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…