Nakuelewa Red blood cell kwa umuhimu ulionao pia katika kutupasha habari za maendeleo ya kampeni ya rais wa mioyo ya watanzania wapenda maendeleo ya kweli na si ya wale wanaotawala kwa ujinga wa watanzania.Nyakati za mabadiliko zikishafika huwa hakuna kuzuizi.
Ni kweli sio yeye aliyeleta tetemeko ha haaaaKWANI MIM NDO NILILETA TETEMEKO.daaaaaaaa hii kauli inaniumaga hadi Leo
Ile kauli ilikuwa ya kikatiri mno !Ni kweli sio yeye aliyeleta tetemeko ha haaaa
Daah kweli ni wakati wa kujua tabia halisi ya mtu then unaamua mwenyeweNi watu wenye tabia za kiroho mbaya kama huyu. Ni rahisi sana kujua tabia za mtu kipindi hiki. Tazama tu anapenda siasa gani?? Then amua kuwa rafiki yake au la!
Ni kweli ya kikatiliIle kauli ilikuwa ya kikatiri mno !
Ni kweli. Ukweli unaumaga. Huyu jamaa hana uwezo wa kuleta tetemeko. Aliyelileta ni aliyeumba dunia.KWANI MIM NDO NILILETA TETEMEKO.daaaaaaaa hii kauli inaniumaga hadi Leo
AMMEEEEEEEEEENNikiona Raia Waelewa Kama Wewe
Najipiga Kifua Najisemea "Freedom Is Coming Tomorrow"
#NiYeye
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Hatuchagui mgonjwa sisi
Ni kipimo murua. Kama mtu anashabikia wauwaji kaa naye mbali.Daah kweli ni wakati wa kujua tabia halisi ya mtu then unaamua mwenyewe
Ana oversweating disease feni hadi kwenye ufukweHatuchagui mgonjwa sisi
Ubaya au uzuri ni kwamba wengi wao hapo hawapo kwenye daftari la mpiga kuraAsante kamanda Erythrocyte Mwambie Rais Mtarajiwa asisahau kutoa elimu ya mpiga Kura.....
Watanzania wazalendo waliochoshwa na uhuni wa kuteka na mauaji, kubambikiwa kesi za uwongo, walioumizwa na kikokotoo, Fao la Kujitoa, wakulima, wafanyabiashara,mavuvi, wafugaji nk tunamwombea Afya Njema katika kukamilisha Kampeni zake.
Aliyewadanganya kwenye hoja yenu hii ya kichovu ni nani ?Ubaya au uzuri ni kwamba wengi wao hapo hawapo kwenye daftari la mpiga kura
Mnajipa moyo tu. Tupo sana tuUbaya au uzuri ni kwamba wengi wao hapo hawapo kwenye daftari la mpiga kura
Tarehe 29 utajua hii ilikua hoja ya ki Comred 👏👏Aliyewadanganya kwenyw hoja yenu hii ya kichovu ni nani ?
Tukutane hapahapa kuanzia tarehe 28 hadi 30Mnajipa moyo tu. Tupo sana tu