Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
Watavuna wanachopandaNaona Azam wanabana,wametangaza wagombea wote,hapa bar tunasubiri Tundu Lissu,mpaka mwisho ni bila bila
Mungu akulinde sana mkuu
Hii ilishawekwa mapema sana..Mkutano wa Mombo.
..Mtoa mada atusaidie kuhamisha video clips ukurasa wa kwanza.
cc Erythrocyte , Mmassy JM
Na mkubali Magu ila kumaneno huwa anasema( vinavyoashiria msimamo/falsafa yake) huwa vinazingua Sana. Vinanipa uncertainty.
La haula!!!
We are Survivors! Kumekucha Tanga, Mh. Tundu Antiphas Lissu kanyaga twende. Tarehe 28/10/2020 ni siku kuu, siku ya kuondokana na manyanyaso, siku ya kuondokana na madikteta uchwara, siku ya kuondokana na washamba na limbukeni. We are marching On
Hata Moshi hawakufikia hivi. Sijui Dar itakuaje!!🤔🤔🤔🤔
We are Survivors! Kumekucha Tanga, Mh. Tundu Antiphas Lissu kanyaga twende. Tarehe 28/10/2020 ni siku kuu, siku ya kuondokana na manyanyaso, siku ya kuondokana na madikteta uchwara, siku ya kuondokana na washamba na limbukeni. We are marching On...
Shikamoo salum Mwalimu!!Wakati Jemadari Lissu na Timu yake wakipigilia misumari kwenye Jeneza la CCM
Mgombea Mwenza Salumu Mwalimu anachimba kaburi la CCM huko Musoma