Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Woga wa ccm pale walipokuwa hawawezi toa hoja kwa wapinzani mwisho nikutumia policcm.
 
Hakuna kiroboto wala paka wa CHADEMA hata mmoja kaingia barabarani mpaka sasa. Hata Erythrocyte na Msanii tunao humu wanaandamana kwa kuandika tu
Nimeshakuambia mimi siyo CHADEMA. Mimi ni CCM nalipia ada zangu zote mpaka za jumuiya .

Ninasimama kuhesabiwa kupinga utekaji na mauaji ya raia. Kila mtu ana haki ya kuishi na serikali inapaswa kuwawajibisha watendaji wote wssiotimiza wajibu wao kwenye hili.

Tukutane Mnazi Mmoja
 
Nakubaliana na msimamo wako, ila nakushauri uingie barabarani, siyo kuandamana JF pekee
 
Hahahaha yaani unamaanisha mtu apige picha za hawa Fanya Fujo Uone (FFU) 😂😂.

Jamaa wamejazana kila kona. Wengine wanasinzia wamelala hapo barabarani, wengine tunawasalimia wanaonekana na nyuso za aibu.
 
Nimeshakuambia mimi siyo CHADEMA. Mimi ni CCM nalipia ada zangu zote mpaka za jumuiya .

Ninasimama kuhesabiwa kupinga utekaji na mauaji ya raia. Kila mtu ana haki ya kuishi na serikali inapaswa kuwawajibisha watendaji wote wssiotimiza wajibu wao kwenye hili.

Tukutane Mnazi Mmoja
Danganya wengine
 
Mbona hamueleweki, ni maandamano ya kudai haki au ya kumuondoa Samia(Samia must go)..

Muwe na msimamo tafadhali..

Na kwasababu ni maandamano yaliyokataliwa mjue mtajitetea mahakamani kwa kosa gani...

Usije ukasomewa mashitaka ya kufanya jaribio la kumwondoa Raisi ukabaki unashangaa...
 
Hivi ndiyo tuseme kweli serikali ndiyo imefikia this level of desperation kuhusu haka ka maandamano?

Mmefikia mpaka kutunga meseji ya uongo na kuisambaza?

"Makamanda, maandamano ya kesho yameahirishwa kufuatia maombi ya maaskofu. Kamati ya amani imeundwa chini ya viongozi wa dini. , wajulishe makamanda wenzetu!"

View attachment 3103783
Ndio chama kinatoa taarifa hivyo kwa group message?
 
Back
Top Bottom