Niki join dot 2019 - 2020 na sasa 2024 ninaona ni kama vile kuna mpambano wa chini kwa chini baina ya Mwanafunzi v/s Mwalimu.
Kipindi kile Mwalimu na Delilah walikuwa wakiwatumia sana Wapinzani, Evalisti Chahali, Kigogo Kigogo, Mange Kimambi page na wanaharakati fulani fulani kumpiga vita Uncle na mwisho wa siku Mwalimu na Delilah wakaibuka washindi,
Na sasa naona kama vile vita ya Mwanafunzi na Mwalimu, nani kuibua mshindi???
Je baada ya maandamano kufeli au kufanyika, Mwalimu atakuja na mbinu ipi nyingine kupambana na mwanafunzi wake?
Born to Town v/s Mkojani Fc