Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Channels za ipp pekee ndo wana guts za kuonyesha maandamano, Na youtube ni Jambo tv, Mwanzo tv, chadema media.
 
Wakuu kwema? Leo niko off, wiki iliyopita nimenunua router ya airtel ile ya 30Mbps. Nahitaji kujua channel itakayorusha maandamano live ili nifuatilie mojakwamoja nikiwa nyumbani kwangu Makongo Juu.

Asanteni kwa kujali. Tuko pamoja.
Vipi hilo zaga la airtel ni unlimited??
 
Ningekuwa ninazo hela ningekwenda.
Halafu maandamano kama inatakiwa ule ushibe ili uweze kukimbia ukifukuzwa na askari.
Jambo baya sana linatokea.
Mambo mabaya yamekuwa yanatokea kwa siku kadhaa.
Chadema wanafananishwa na Hamas,wanateswa, viongozi wao wanakamatwa.
Wakati upo Uchaguzi Nov 27.
Matukio ya leo yatatukosesha kabisa mechi kati ya CCM na Wapinzani ya Nov. 27.
Halafu Nyerere Day is just around the corner.
You want to celebrate it wakati Wapinzani wako detention wamewekewa electric current katika sehemu za siri.
This is to dishonour the memory of The Father of the Nation.
Honestly, Nyerere Day itakuwa meangless kwa ajili ya haya mambo yanayofanyika sasa hivi .
 
IMG-20240922-WA0053.jpg
IMG-20240922-WA0054.jpg
 
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.

Tupeane updates za picha na matukio yanayojiri kwenye maandamanp haya ya haki.

Tukutane barabarani.
chama cha wachagga,chagadema ndio kitetee haki za watanzania? kajambeni huko mbele
 
Picha za nini? Kama wewe ni muandamaji ingia barabarani tu, siyo kuchochea wenzio tu
Sasa atapiga picha kama hayuko eneo la tukio? Mama ameamua kuiga uhayawani wa Magufuli, haujui kuwa magufuli alikuwa shetani toka tumboni kwa mama yake. Ngoja tuone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom