Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Yaani ulivyoandika hadi unatia huruma!Linapokuja swala la kuandamana nchi hii inawaandamanaji maalum, ni swala la kuwa-switch tu muwaamrishe waandamane nchi nzima, mkoa mmoja au wilaya moja! Hawajawahi kushindwa hao. Hujaona leo walivyoandamana kwa magari, wengine kwa miguu na wengine wakiwa na mbwa tena wakiwa na sare zao safiii kabisa. Wako smart!
Duniani kote nchi za kidemokrasia zinazoongozwa na raia, jeshi kamwe halishiki kuua raia. Hata hapo Uganda hua Jeshi halitumii risasi kuua raia . Polisi ndio wanaozuia maandamano na wakishindwa basi jeshi kinaingilia kati kunusuru mauaji makubwa sana polisi wakishindwa wanageuziwa kibao kupigwa na kujeruhiwa na wengine kuuawa na waandamanaji.Juzi juzi tu hapo Bangladesh juhudi za wananchi zilimwondoa waziri mkuu madarakani bila ya ushiriki wa jeshi (nadhani); ingawaje huenda waliamua tu kukaa pembeni.
Mkuu, sina hamu na hizi dhana au nadharia. Sijui mwanzo wake na wala mwisho wake kuhusu uhusika huo unao uelezea wewe.Duniani kote nchi za kidemokrasia zinazoongozwa na raia, jeshi kamwe halishiki kuua raia. Hata hapo Uganda hua Jeshi halitumii risasi kuua raia . Polisi ndio wanaozuia maandamano na wakishindwa basi jeshi kinaingilia kati kunusuru mauaji makubwa sana polisi wakishindwa wanageuziwa kibao kupigwa na kujeruhiwa na wengine kuuawa na waandamanaji.
Hata Tanzania JWTZ hua wanafagia tu lakini kamwe hawawezi kushika silaha na kuua wananchi. Jeshi la hovyo kama kule Kongo,Rwanda ,Burundi n.k walipowapiga wananchi na kuwaua ndipo uasi ulipotokea na mauaji ya halaiki ambapo serikali inapinduliwa maana wananchi wanaweza wakaungana na Brigade moja tu na kuisapoti kupambana na jeshi la serikali mpaka nchi ikagawanyika au kupinduliwa.
Bora kutawaliwa na Wachaga kuliko kutawaliwa na Waarabu kutoka Oman.CHADEMA ni chamha WACHAGA na hakitakaa kishinde Nchi hii.
Jeshi sio taasisi za kienyeji ni taasisi za kimataifa. Ndio maana hata rank zake ni international .lMkuu, sina hamu na hizi dhana au nadharia. Sijui mwanzo wake na wala mwisho wake kuhusu uhusika huo unao uelezea wewe.
Itoshe tu kusema kuwa sidhani kuna kanuni maalumu inayo fuatwa kila mahala kuhusu ushiriki wa vyombo hivyo.k, naishia hapo kama unadhani Jeshi lenye nidhamu linaweza kushika Silaha na kuua watu basi Xaendelea kuamini hivyo .
Sawa mkuu. Hata Jeshi la Amini Dada nalo lilikuwa ni jeshi vile vile kama majeshi yote duniani. Na nina hakika huo siyo mfano pekee wa aina ya majeshi na pengine mabovu zaidi ya hilo.Jeshi sio taasisi za kienyeji ni taasisi za kimataifa. Ndio maana hata rank zake ni international .
Captain wa Jeshi ni Capt . dunia nzima lakini polisi mwenye cheo fulani nchi nyingine hawakitambui .
Nchi nyingine polisi sio jeshi.
Jeshi linakua na hadhi sawa kimataifa tofauti ni uwezo wa vifaa na maslahi tu lakini Ukisikia Komando wa Jeshi ni Komando na anaweza kujiunga na jeshi lingine kokote duniani.
Moja ya miiko ya Jeshi kimataifa ni kutomuua mateka ambaye amejisalimisha na kutupa silaha chini na haonyeshi ukaidi.
Jeshi likiua wetu wake ni rahisi kabisa nchi hiyo kuvamiwa na Vikosi vya UN kutuliza hali hiyo.
Hakuna Jeshi linaloweza kuingia kwenye kashfa hiyo kwa sababu ya wanasiasa wanaokiuka katiba.
Katiba ikikiukwa kwa kiwango kinacholeta madhara makubwa ni kazi ya jeshi kurekebisha kama ilivyofanya kwa Samia . Mabeyo alitimiza wajibu wake . Walijua kabisa kuwa Samia hana uwezo na hawakutegemea kuwa angekua Rais wa lidubwana likuuuuubwa kama Tanganyika. Walipotaka kuvunja katiba Jeshi lilielekeza katiba ifuatwe.
TISS ni polisi tu waliochangamka kwa kuwa chini ya ofisi ya Rais kwa hapa Tanzania . Lakini hawana tofauti na polisi katika utendaji wao hasa wapelelezi . Nchi nyingine Usalama wa Taifa ni kitengo tu ndani ya polisi.
Jeshi ni chombo tofauti sana. Pia ni kosa jeshi kuingilia utawala wa kiraia.Duniani kote nchi za kidemokrasia zinazoongozwa na raia, jeshi kamwe halishiki kuua raia. Hata hapo Uganda hua Jeshi halitumii risasi kuua raia . Polisi ndio wanaozuia maandamano na wakishindwa basi jeshi kinaingilia kati kunusuru mauaji makubwa sana polisi wakishindwa wanageuziwa kibao kupigwa na kujeruhiwa na wengine kuuawa na waandamanaji.
Hata Tanzania JWTZ hua wanafagia tu lakini kamwe hawawezi kushika silaha na kuua wananchi. Jeshi la hovyo kama kule Kongo,Rwanda ,Burundi n.k walipowapiga wananchi na kuwaua ndipo uasi ulipotokea na mauaji ya halaiki ambapo serikali inapinduliwa maana wananchi wanaweza wakaungana na Brigade moja tu na kuisapoti kupambana na jeshi la serikali mpaka nchi ikagawanyika au kupinduliwa.
Na unacho kisema hapa, kama ninakuelewa vizuri, ni kuwa, huo "utawala wa kiraia" unaweza kufanya kila aina ya uchafu ndani ya nchi wanayo iongoza, ikiwa ni pamoja na kuua raia wa nchi hiyo na hilo jeshi "chombo tofauti" kibaki tu kinaangalia hayo yote yakitokea bila ya kujishughulisha na kutaka kuyazuia. Jeshi la namna hiyo sijui lina faida zipi hasa kwa wananchi hao.Jeshi ni chombo tofauti sana. Pia ni kosa jeshi kuingilia utawala wa kiraia.
Sawa mkuu. Hata Jeshi la Amini Dada nalo lilikuwa ni jeshi vile vile kama majeshi yote duniani. Na nina hakika huo siyo mfano pekee wa aina ya majeshi na pengine mabovu zaidi ya hilo.
Bado sioni mantiki katika mtiririko wa hoja zako kuhusu mjadala wa haya tunayo yashuhudia Tanzania..
Labda niseme ni kwa vile nimeji-'tune out' katika kutaka kuelewa kwa kina unacho kizungumzia humu. Huenda huko mbeleni nitakuwa na shauku ya kutaka kuelewa haya, kwa sasa, s
Jitahidi kupangilia muandiko siku nyingineWakuu, Nimeshangazwa sana Na aina ya ukamataji wa Viongozi wa Chadema kufatia Planned Demonstration iliyofanyika sana, Hiki chama hakilindi Viongozi wake? Vipi vijana wa Chadema wameshindwa Kuzuia Police 20 kumkamata Mbowe? Kwanza Pale kingenuka tu Ujue Police nao wange slow down zoezi hilo mana Nguvu ya Umma ni Kubwa kuliko wao, Police na Vyombo vya Dola ni wachache sana Kuliko wananchi wengi inashangaza kweli Kuona Viongozi wale wanakamatwa kama Kuku
tumeona Maandamano ya Raila Amole Odinga(RAO) pale Kenye then yakafatia ya Gen Z tuelewe kuwa hakuna maandamano Bila Brutality ukilemaa tu mnaishia kukaa indoors Mkilia lia kwenye Keyboards
Bro ulikuwa wapi kuanziasha unayoyasema?Wakuu, Nimeshangazwa sana Na aina ya ukamataji wa Viongozi wa Chadema kufatia Planned Demonstration iliyofanyika sana, Hiki chama hakilindi Viongozi wake? Vipi vijana wa Chadema wameshindwa Kuzuia Police 20 kumkamata Mbowe? Kwanza Pale kingenuka tu Ujue Police nao wange slow down zoezi hilo mana Nguvu ya Umma ni Kubwa kuliko wao, Police na Vyombo vya Dola ni wachache sana Kuliko wananchi wengi inashangaza kweli Kuona Viongozi wale wanakamatwa kama Kuku
tumeona Maandamano ya Raila Amole Odinga(RAO) pale Kenye then yakafatia ya Gen Z tuelewe kuwa hakuna maandamano Bila Brutality ukilemaa tu mnaishia kukaa indoors Mkilia lia kwenye Keyboards
Mungu hawezi kuwq upande wa wasiopenda haki.Mungu ndiye anamlinda Samia Suluhu