Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna Mzee mmoja ana ulemavu alioupata miaka ile ya maandamano ya CUF ya Lipumba anakwambia kaandamane ikiwa Kuna chochote kitu utapewa maana wao (viongozi) ile ni ajira yao tofauti na raia wa kawaida.

Alipoteza mguu kwa kipigo ktk maandamano na hakuna chochote alichokipata Wala kuuguzwa na mwanacuf yyt zaidi ya kusumbua familia yake ambao anakwambia walimchamba mno! kwa maneno ya kejeli kwa kitendo chake cha kukubali kutumiwa na viongozi waliohamasisha maandamano. Leo hii CUF ipo wapi?
 
wewe ulikuwa wapi?
 
kua na Polisi wa chache maana yake ni uwezo mkubwa na uimara walio nao katika kukabiliana, kudhiti na kuwahudumia wahalifu virungu,

kwamba askari polisi moja mwenye uwezo wa kimbinu amejizatiti kuwadhoofisha makaidi wahalifu zaidi ya 100 ili karandinga lije liwazoe tu kama broiler..

Suala la umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, litafanyika kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile gentleman πŸ’
 
Vijana wa chadema walikua jana wameandamana wale bavichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ auu ndio vijana wakina mbowe na mwanae?
Ila mimi nasema CHADEMA nikuwalisha mitama tu, one time.
 
Vijana wa chadema mmeshindwaje kuzuia polisi 20? Pale kingenuka tu wangeslow down

Alafu umelala hiviπŸ‘† nenda barabarani
 
WA TZ MUMUSHUKURU MUNGU ALIYEWAWEKEA MCHAWI NYENYERE. NYENYERE NDIE ALIYEROGA WA TZ WOTE WAWE MAZUZU
 
Wanasiasa wanataka kuingia madarakani ili watengeneze maisha yao binafsi kwa maslahi yao kwanza kusema uko tayari kufa kwaajili ya mwanasiasa yoyote huo ni ujinga wa kiwango cha juu
 
Acha kujifanya umejitoa akili! Sio vijana wa CHADEMA tu, bali hilo ni la Watanzania wote! Kwa hali ilivyo hapa Tanzania, hata yale ma parade ya Simba na Yanga, watangaziwe hali ya hatari vile, hakuna ambaye angethubutu.
SUMU HAIONJWI!
 
Unazungumza na Wadanganyika? Itabidi usubiri sana. Nimejiridhisha kwamba ule msemo usemao "debe tupu haliwachi kutika" kwamba ni kweli. Hii ni mara ya pili kusema bila kutenda. Wacha waendelee tu. Huenda kuna siku wataletewa haki ndani ya kisahani kama keki.
 
Kwa miaka mingi TANZANIA Chini ya serikali ya CCM.

Imekua na urafiki na serikali ya ZIMBABWE ya Mugabe na Sasa mnanang'wa.

Chini ya Mugabe wapinzani wake walipata tabu Sanaa nikama wapinzani wa museveni.

Na likewise kinacho Endelea hapa nyumbani kwetu TZ.
 
Vijana wa chadema walikua jana wameandamana wale bavichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ auu ndio vijana wakina mbowe na mwanae?
Ila mimi nasema CHADEMA nikuwalisha mitama tu, one time.
Hujui maana ya "Democracy" unaonyesha una very very poor reasoning.

Mkuu usijisumbue kunijib maana nimesha bonyeza ignore button βœ…
 
Wewe bakia kuimba sifa za Samia tuu huwezi kufikirika lingine lolote.
We endelea kuimba ujinga wa
" nani kama Samia.
piga makofi kwa Samia .
Samia ametowa Hela(sijui yake) kujenga hili na lile" na upuuzi mwingine.
 

View: https://x.com/PMadeleka/status/1838151241513492684?t=sRH4CFm6uOCZmFGaFnl0KQ&s=19
 
Hapa wameonesha polisi walivyomambulula.madai ya chadema ni ya msingi kabisa ya kudai watu wanatekwa na kuuwawa na polisi lakini Bado wameendeleza u babe wa kuzuia maandamano.mbaya zaidi wamewakamata na kuwaachia Kwa maana hakukuwa na kosa lolote lililokiukwa.Kama wamevunja Sheria Kwa Nini Sasa hawajawapeleka mahakamani?Au wameogopa kundi lao la utekaji likiongozwa na mafwele kujulikana mahakamani?
 
Kufuatia watanzania kunyimwa haki yetu ya kikatiba ya kuwasilisha kilio na maombolezo yetu kwa njia ya maandamano kuhusiana na hali ya utekwaji, upotezwaji na mauaji ya watu, kwa kuitaka serikali kuhakikisha wananchi tunakuwa salama!

Ila polisi wakazuia kwa kisingizio cha uvunjifu wa amani kitu ambacho sio kweli! Tena kwa mitutu ya bunduki na magari ya kivita.

Tunaomba viongozi wa kiroho mtuongoze kwa siku maalum ya maombi ya maombolezo kwenye nyumba za ibada.

Zigongwe kengele za kuashiria msiba,na spika misikitini zitangaze maombolezo hayo pia. Na hii itakuwa ni njia sahihi ya kumsihi Mungu atuokoe na hali hii. Na ni njia sahihi na ya amani kuwasilisha ujumbe kwa serikali.
 
Atuokoe umesema? Tumechelewa sana....wanaotukopesha wapo kubutuana, siye tutaponea wapi.....vita ya Tatu ya dunia hii....imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…