mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Kuna Mzee mmoja ana ulemavu alioupata miaka ile ya maandamano ya CUF ya Lipumba anakwambia kaandamane ikiwa Kuna chochote kitu utapewa maana wao (viongozi) ile ni ajira yao tofauti na raia wa kawaida.
Alipoteza mguu kwa kipigo ktk maandamano na hakuna chochote alichokipata Wala kuuguzwa na mwanacuf yyt zaidi ya kusumbua familia yake ambao anakwambia walimchamba mno! kwa maneno ya kejeli kwa kitendo chake cha kukubali kutumiwa na viongozi waliohamasisha maandamano. Leo hii CUF ipo wapi?