Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema tatizo lao kubwa wako focused sana na issue zako za Kisiasa badala ya mambo yanoyoihusu Jamii direct
 
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.

Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.

Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.



Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda


Narudia tena



Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
 
Intelijensia ya Chadema imefeli @ Dar No ilibidi wawe separate maana wana Kanda zao mambo yangeenda ona Sasa wanafeli asb
 
Back
Top Bottom