MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
Hatakiwi kufanya hivyo...!! Anaweza kusema kwamba lipo chini halafu likabadilishwa, ndio maana amekaa kimya. Ile ya Magu haitabadilika ndo vilevile ndio maana anafundishia maana ni uhakika haitabadilika.
Ushaambiwa ukiona unaumia chomoa pole poleMbona kila siku Singida ?
Hawaamini ndungu zake wa singida ? Anajua watamfyekelea mbali
Hapa vijana tuna la kujifunza, Usaliti ni laana kwa Taifa
Yaaah usigugumie adi jirani ajue kwamba unaumia we chomoa taratibu tu.Matusi ya Chadema tumeyazoea
Asifanye hivyo, ile karataso ni ya mfano. Inaweza kuchange any time. Ile namba moja ikabakizwa vivyo hivyo.Abarikiwe TL. Tujitokeze kwa wingi Jumatano 28 Okt 2020 tumpigie TL kura zetu.
Sijasikia TL akieleza watu jinsi ya watu kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
Kampeni anamalizia wapi?Rais Magufuli kampeni anamaliza leo, kesho anasafiri kwenda ikul,jumanne anapumzika
Raha sana
Asifanye hivyo, ile karataso ni ya mfano. Inaweza kuchange any time. Ile namba moja ikabakizwa vivyo hivyo.
Mkuu erythrocyte aka powerceff heshima kwako mkuuWakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .
" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "
View attachment 1611262
========
mkuu huyo mgombea wako anapita hapo dodoma na singida Mara ngapi??Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .
" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "
View attachment 1611262
========
A stratergist will always go forwad and backward to harmonize issues.mkuu huyo mgombea wako anapita hapo dodoma na singida Mara ngapi??
Inamaana hakuna sehem zingine za kupiga kampein
??🤔
Yeyote mwenye akli concern yake ni hiyo. Lisu ameshashinda, tatizo hawatamtangaza! What next? Kaijage hatamtangaza, CDM na watanzania wana option gani kupata haki?njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Je wananchi watakubaliana na ujinga wa kutomtangaza Lissu ?Yeyote mwenye akli concern yake ni hiyo. Lisu ameshashinda, tatizo hawatamtangaza! What next? Kaijage hatamtangaza, CDM na watanzania wana option gani kupata haki?
Tuombe wawe/tuwe na courage ya kupigwa risasi na kusonga mbele, wasiwasi wangu uko hapo? Tuna ujasiri huo?wananchi
Kwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kuraYeyote mwenye akli concern yake ni hiyo. Lisu ameshashinda, tatizo hawatamtangaza! What next? Kaijage hatamtangaza, CDM na watanzania wana option gani kupata haki?
Marufuku ya kishetani haitakubaliwa , kuna dalili uchaguzi usifanyikeKwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kura
DSO/RSO wanasema
1.Marufuku mawakala kuingia na simu
2.Marufuku wasimamizi wasaidizi kuingia na simu
3.Marufuku kalani mwongozaji kuingia na simu
4.Marufuku wakala kuingia na kalam yake
5.Marufuku wakala kuondoka na karatasi ya matokeo
Wapinzani tumeshapigwa tayari!Yaani nimekuta kwanini niliumia kwenye hiyo seminar Ilikuwa kidogo tu nirushe ngumi
Watanzania tulioichoka CCM ni wengi mno kuliko PolisiCCMJe wananchi watakubaliana na ujinga wa kutomtangaza Lissu ?