Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Ameitaka jumuiya ya kimataifa waiwekee serikali vikwazo,mabalozi wetu warudishwe nyumbani/wawatimue. Serikali yetu isiwe na rafiki hata wa kumwomba maji ya kunywa ili watende haki
Hayo yakitokea nani ataumia?
 

‘Yaani nikupe gari,nikulipie nyumba,nikulipe mshahara na bado umtangaze mpinzanin kua ni mshindi hiiiiiiiii’

Kauli kama hio hapo juu ndio tunazihitaji kila siku,maana ni nzuri sana na zinaleta umoja wa kitaifa.

Kauli ya kizalendo oyeeeeeeeeee.
 
Lowasa alitutaka tusome ilani mitandaoni.
 
🔴 Alert

CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza.
Karibuni Jamhuri.
 
Kama tbc hawataki kutenda wanaenda kwenye mkutano kuchezea Kodi za wananchi basi wanastahili kufukuzwa wajifunze adabu.
 
Usisau kuwa wale Wanasombwa kwa magari na kupewa posho wale wa lissu wanakuja wenyewe kwa gharama zao
 
Umati uliopewa 10K, t-shirt bure, kofia bure, usafiri bure na burudani ya wasanii 200+.
Kesho msisahau kupiga picha mabus pale viwanja vya barafu yatakapokuwa yamepaki kusubiri kuwarudisha yalipowatoa wakina "agwe".
 
Kama tbc hawataki kutenda wanaenda kwenye mkutano kuchezea Kodi za wananchi basi wanastahili kufukuzwa wajifunze adabu.
Tbc inafanya kazi ya BBC wakati wa ukoloni, wanasahau kuwa hata CCM ikifa tbc haifi. Lakini sijawahi kuona VOA na BBC vikiegemea upande wa vyama.
 
Hii ndio mbagalaa jana tbc wazushi tu
 

Attachments

  • VID-20200828-WA0032.mp4
    16.6 MB
Jana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.

Jana watu wameona hakuna sababu ya kwenda uwanjani kwa kuwa walishamuona.

Jambo lingine watanzania hawajawahi kuongozwa na Miujiza. Kitendo cha kutoa kwenda jana ni baada ya kuwasikia viongozi wa CHADEMA wakisema Lisu ni Muujiza unaotembea, Watanzania wamekata kuchagua Miujiza wakati binadamu bado wapo.

Ikumbukwe 2015 CHADEMA walijaza watu kwa sababu ya nguvu ya Lowasa na si nguvu ya CHADEMA. Leo CCM wanaenda kuijibu CHADEMA kwa watu kuujaza Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.

2020 Watanzania tutachagua Rais, hatuchagui miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…