Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 324
- 649
Siku hizi Mbagala kuna mwendo kasi? Danganya WajingaManeno haya mnayapata wapi vijana yaan kama hivi!View attachment 1551606View attachment 1551607
TBC Online wamewavua nguo wapenda fujo CHADEMAManeno haya mnayapata wapi vijana yaan kama hivi!View attachment 1551606View attachment 1551607
Mkuu Mimi nakaa mbezi Luis Ila leo ntaenda mwenyewe kawe kushuhudia haya Mambo then ntakujuzaWana Dar es salaam hamfai mmewaabisha wapenda misifa CHADEMA
Maneno haya mnayapata wapi vijana yaan kama hivi!View attachment 1551606View attachment 1551607
Wapuuzi hao!Unasema watu hawakwenda kumuona sababu walishaenda kumuona kwa (wingi) wakati anatafuta wadhamini....ok ..Far pia alikuja kutafuta wadhamini au sio? Hiyo picha yenu kwa hisani ya tbccm mliyopiga mapema ndo kituko mlichobaki nacho.
TBC Online wamewavua nguo wapenda fujo CHADEMA
Maneno haya mnayapata wapi vijana yaan kama hivi!View attachment 1551606View attachment 1551607
Kwani hao wasanii niwa chadema au Chauma?CCM wanaenda kujaza uwanja kwa nguvu ya wasanii. Watu wanaenda kuangalia show za bure za wasanii wa bongo fleva.
Yeye ameiabisha mbagala ya 2015 dhidi ya 2020Mie nakumbuka 2015 ufunguzi wa kampeni za Chadema ulifanyika viwanja vya jangwani? Sasa hiyo ya mbagala ilikuwa ya rais au mbunge?
Mbagala ulikuwa mkutano wa nini? Any way kwa mtanzamo wangu.kwa mtu aliyefungiwa kwa miaka mitano kupata watu hao tena waliojipeleka wenyewe tena kwenye Jimbo linaloongozwa na CCM ambapo hawakupewa nafasi hata ya mkutano wa ndani for 5 years nadhani watu hao ni wengi sana.Any way acha niende kawe nikajionee mwenyeweYeye ameiabisha mbagala ya 2015 dhidi ya 2020
Sultani Mbowe akipata kiwewe Hadi kafukuza waandishi
Ni wao chadema waliowaalika waandishi wa vyombo vyote,thread IPO humu,lakini kwa kuchanganyikiwa akaamua kuwafukuza
Hii vp mkuu kipara Cha zamaniManeno haya mnayapata wapi vijana yaan kama hivi!View attachment 1551606View attachment 1551607
Unajifariji, hata ukijaza kawe kwa mafuso, lakin habari ni kuwa uzinduzi ulidoda.Mbagala ulikuwa mkutano wa nini? Any way kwa mtanzamo wangu.kwa mtu aliyefungiwa kwa miaka mitano kupata watu hao tena waliojipeleka wenyewe tena kwenye Jimbo linaloongozwa na CCM ambapo hawakupewa nafasi hata ya mkutano wa ndani for 5 years nadhani watu hao ni wengi sana.Any way acha niende kawe nikajionee mwenyewe
Leta picha iliyopigwa kwa juu. Munadhani watu wote ni wajinga. Leta picha oblique picture. We are not all foolWapuuzi hao!
Hii vp mkuu kipara Cha zamaniView attachment 1551641