Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Ccm oyeeee
 
Ficha ujinga wako wewe, tukio lilikuwa live TBC kabla Lissu hajasimama, we huoni hivyo vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama? hiyo ndo hali halisi ya jana. View attachment 1551659
Hahahahaha....Kama unalazimisha hivi nikubaliane na wewe !!? Ok ni kwel kabisa unachosema. Hawa chadema Hawa hatari Sana. Bora tumchague anayetuletea ndege tano akichaguliwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sasa unataka kuchagua kibaraka? mwenye mipango ya kufuta kodi na kuifanya Tanzania dampo la bidhaa kutoka nje? badala ya kuindustrialize na kupeleka bidhaa kuuza nje ye anasema atafuta kodi na hivyo kujaza bidhaa za nje nchini... pathetic.
 
Kibaraka kwa lipi? Propaganda zenu za kijinga zinawafanya muonekane hamnazo lumumba. Vip mkutano ujao mnaweka wasanii wangapi jukwaani ukiacha msanii Mkuu bwana niwe?
 
Makamanda tupeni update leo segerea
 
Kitengo cha habari chadema kuja hujuma, mbona updates za segerea hamna
 
Sasa unataka kuchagua kibaraka? mwenye mipango ya kufuta kodi na kuifanya Tanzania dampo la bidhaa kutoka nje? badala ya kuindustrialize na kupeleka bidhaa kuuza nje ye anasema atafuta kodi na hivyo kujaza bidhaa za nje nchini... pathetic.
Kama uelewi jifunze kuuliza ueleweshwe.achana na propaganda mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…