Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Ebu sema ukweri. Line hii ya tigo ya Leo ndo ile dada mtaro wa mbege alisema walikuwa wanasajili kabla ya kukamatwa??
Huu muda unaotumia kubweka bweka humu, ni bora ungeutumia kujifunza kusoma na kuandika.
 
Ndugu zangu nitoeni ushamba..
Hivi hizi kesi kutokurushwa live kwenye vyombo vya habari tatizo ni nini?

Tumekuwa tunasoma kama novel, kuna mengi najua tunayakosa, hivi shida ni nini?

Hebu nisaidieni kwa Hilo...
 
Bla bla bla .....

Wakili wa Serikali: Kwa kumbukumbu zako Mnamo tarehe 02 Mwezi 07 2021 ulikuwa wapi

Shahidi: (Tigo) nilipata Barua Mbalimbali za Maombi, Katika Barua hizo Kuna Barua ilitoka Kwa Kamishina wa Upelelezi wa Kisayansi Ikihitaji Taarifa za Namba ya mteja.

Bla bla bla ....

Wakili wa Serikali: Turudi Kwenye namba uliyotaja, Baada ya kuprint Ukafanya nini?

Shahidi (Tigo): Niliandika Barua kumjibu Kamishina wa Makosa ya kisayansi alichokuwa anakitafuta, nikamrudishia Katika Barua nilisha Print lazima Nigonge Muhuri na Signature yangu ....

Bla bla bla ....

Wakili wa Serikali: Iambie Mahakama Sasa Unaiomba nini Mahakama

Shahidi (Tigo): Naomba Mahakama hii Ipokee Barua niliyoandika kwa kamishina Uchunguzi wa Kisayansi, Barua iliyokuwa inahitaji Taarifa alizokuwa akihitaji Mihamala ya Fedha ya namba iliyokuwa anaiombea na Taarifa ...

UTETEZI: hatuna pingamizi mh. Jaji!
 
Huu muda unaotumia kubweka bweka humu, ni bora ungeutumia kujifunza kusoma na kuandika.
Mbona kipindi Jemedari wenu wa Afrika yenu hamkuthubutu kumwambia akajifunze kusoma, kutamka na kuandika??

NB: Nilibweka ili ujaemo...!!
 
sheria zetu mbovu haziruhusu eti itaharibu ushahidi sijui kivipi, mahahama ni tawi la CCM
Nimeshuhudia kesi kubwa kubwa duniani zikirushwa mubashara na zingine nyingi mno zipo YouTube..

Sasa ushahidi unaharibika kivipi? Kama shahidi hapaswi kuonekana mbona wanataja majina yao na address?

Au ushahidi unaharibika kivipi? Hata sielewi...

Kesi kama hii haina haja ya kusoma mpaka macho yanakuuma... Argghhh, mara type error za kutosha, yaan basi tu
 
Kijana anaingia kwenye mnyororo wa laana kushiriki genge la kutaka kuwafunga watu wasio na kosa...!! Habari hii imfikie mkewe na watoto wake baba na mama yake kwamba gundu linakwenda kupiga kambi katika hii familia.
 
Mbona kipindi Jemedari wenu wa Afrika yenu hamkuthubutu kumwambia akajifunze kusoma, kutamka na kuandika??

NB: Nilibweka ili ujaemo...!!
Leta uthibitisho wowote wa mimi kujinasibisha na huyo kibwengo.
 
Makampuni makini ujiweka mbali na ujinga huu. Ngoja Tigo wavune wanachopanda.

Unataka kuwalaumu bure MIC,ulitaka wafanyeje kama wameombwa watoe hizo taarifa tena kwa barua rasmi kutoka Taasisi inayoruhusiwa kisheria kupewa hizo taarifa? Mbona Makampuni karibu yote yanafanya hivyo,pindi yanapotakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi zinazoruhusiwa kisheria.Hakuna Kampuni yoyote hapa Nchini itakataa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi,Mahakama na TRA.
 
Kijana anaingia kwenye mnyororo wa laana kushiriki genge la kutaka kuwafunga watu wasio na kosa...!! Habari hii imfikie mkewe na watoto wake baba na mama yake kwamba gundu linakwenda kupiga kambi katika hii familia.

Hivi mbona mnataka kulaumu kila mtu? Mlitaka huyu Legal Officer akatae kweli kutoa taarifa alizoombwa? Kuna sehemu amesema uongo mpaka sasa? Ungekuwa wewe ndiyo mwajiriwa wa Tigo kwa nafasi hiyo na umetakiwa kwenda kutoa ushahidi ungekataa? Hebu tuacheni kusukuma lawama kwa kila mtu.
 
Unataka kuwalaumu bure MIC,ulitaka wafanyeje kama wameombwa watoe hizo taarifa tena kwa barua rasmi kutoka Taasisi inayoruhusiwa kisheria kupewa hizo taarifa? Mbona Makampuni karibu yote yanafanya hivyo,pindi yanapotakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi zinazoruhusiwa kisheria.Hakuna Kampuni yoyote hapa Nchini itakataa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi,Mahakama na TRA.
Kwenye nchi zetu sie mazwazwa na misukule ya CCM ndipo hizi Sheria zinafanya kazi.

Kwa wanaojielewa huu u$3ng3 haupo..

Kampuni kama apple FBI waliomba taarifa hawakupewa, just imagine FBI hawakupewa taarifa...

Mtandao kama twitter unamfungia raisi DTrump account...

Haipaswi kampuni yeyote Kutoa taarifa za mteja bila idhini yake...

Na hii michezo hata ukifahamiana tu na hao IT wa hizi kampuni, ukiomba tu taarifa za mtu fulani hata mkeo Wana print zoooteee...
 
Hivi mbona mnataka kulaumu kila mtu? Mlitaka huyu Legal Officer akatae kweli kutoa taarifa alizoombwa? Kuna sehemu amesema uongo mpaka sasa? Ungekuwa wewe ndiyo mwajiriwa wa Tigo kwa nafasi hiyo na umetakiwa kwenda kutoa ushahidi ungekataa? Hebu tuacheni kusukuma lawama kwa kila mtu.

Point! Silioni kosa la huyu shahidi wala Tigo wenyewe. Hili ni swala la kisheria na ni matakwa ya kisheria kwa wao kufanya hivyo kosa litakuja kama wanatoa taarifa za uongo
 
Wakili wa Serikali: Unakumbuka Ilikuwa ni wakati gani?

Shahidi: (Tigo) walitaka Taarifa za mihamala ya Fedha kutoka 01 June ya 2020 Mpaka 31 June ya 2020 Nikaingia Kwenye Computer Nikaziona

Bla bla bla .....

Wakili wa Serikali:Shahidi tufafanulie Maneno Ya Juu kama Sender Maana yake nini

Shahidi (Tigo): Send My Op namba 0719933386 Receiver 0787555200 Miamala wa Tarehe 20 Kiasi 500,0000 Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 21na Balance Ilikuwa 2.3M
 
Back
Top Bottom