Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kampeni yenu ya Voda ilifikia wapi ?Na hiyo ndiyo iwe kampeni ya leo
Punguzeni kunywa mbege zilizochacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampeni yenu ya Voda ilifikia wapi ?Na hiyo ndiyo iwe kampeni ya leo
Ebu sema ukweri. Line hii ya tigo ya Leo ndo ile dada mtaro wa mbege alisema walikuwa wanasajili kabla ya kukamatwa??Vijana wa chaggadomo, utasikia MIHAMALA🤣
wakipungua wateja elfu 10 sihaba, voda mpaka walijitoa kudhamini ligi kuu hawana pesaKampeni yenu ya Voda ilifikia wapi ?
Punguzeni kunywa mbege zilizochacha
Huu muda unaotumia kubweka bweka humu, ni bora ungeutumia kujifunza kusoma na kuandika.Ebu sema ukweri. Line hii ya tigo ya Leo ndo ile dada mtaro wa mbege alisema walikuwa wanasajili kabla ya kukamatwa??
Mimi sijawahi kuogopa ban hata siku moja.Mkuu wakupige ban hakuna namna
Mama mdogo sijui umepatwa na niniMimi sijawahi kuogopa ban hata siku moja.
Takataka kama weee ndio unaweweseka.
sheria zetu mbovu haziruhusu eti itaharibu ushahidi sijui kivipi, mahahama ni tawi la CCMNdugu zangu nitoeni ushamba..
Hivi hizi kesi kutokurushwa live kwenye vyombo vya habari tatizo ni nini?
Tumekuwa tunasoma kama novel, kuna mengi najua tunayakosa, hivi shida ni nini?
Hebu nisaidieni kwa Hilo...
Mbona kipindi Jemedari wenu wa Afrika yenu hamkuthubutu kumwambia akajifunze kusoma, kutamka na kuandika??Huu muda unaotumia kubweka bweka humu, ni bora ungeutumia kujifunza kusoma na kuandika.
Nimeshuhudia kesi kubwa kubwa duniani zikirushwa mubashara na zingine nyingi mno zipo YouTube..sheria zetu mbovu haziruhusu eti itaharibu ushahidi sijui kivipi, mahahama ni tawi la CCM
Good amepata haki yake
Leta uthibitisho wowote wa mimi kujinasibisha na huyo kibwengo.Mbona kipindi Jemedari wenu wa Afrika yenu hamkuthubutu kumwambia akajifunze kusoma, kutamka na kuandika??
NB: Nilibweka ili ujaemo...!!
Makampuni makini ujiweka mbali na ujinga huu. Ngoja Tigo wavune wanachopanda.
Kijana anaingia kwenye mnyororo wa laana kushiriki genge la kutaka kuwafunga watu wasio na kosa...!! Habari hii imfikie mkewe na watoto wake baba na mama yake kwamba gundu linakwenda kupiga kambi katika hii familia.
Kwenye nchi zetu sie mazwazwa na misukule ya CCM ndipo hizi Sheria zinafanya kazi.Unataka kuwalaumu bure MIC,ulitaka wafanyeje kama wameombwa watoe hizo taarifa tena kwa barua rasmi kutoka Taasisi inayoruhusiwa kisheria kupewa hizo taarifa? Mbona Makampuni karibu yote yanafanya hivyo,pindi yanapotakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi zinazoruhusiwa kisheria.Hakuna Kampuni yoyote hapa Nchini itakataa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi,Mahakama na TRA.
Hivi mbona mnataka kulaumu kila mtu? Mlitaka huyu Legal Officer akatae kweli kutoa taarifa alizoombwa? Kuna sehemu amesema uongo mpaka sasa? Ungekuwa wewe ndiyo mwajiriwa wa Tigo kwa nafasi hiyo na umetakiwa kwenda kutoa ushahidi ungekataa? Hebu tuacheni kusukuma lawama kwa kila mtu.