Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Yule mama yaan adi bastola anaijua vizuri na serial namba anaijua, magazine inapokaa adi risasi, anasema alishuhudia wakiamrishwa kukaa chini lakini uyu wa leo anasema alienda kuwatafuta kwenye mabanda yao maana yalikuwa wazi kwa vyovyote kulikuwa na shughuli zinaendelea (akimaanisha aliamini lazima kutakuwa kuna watu) shahidi wa leo anataka kuiambia mahakama hapakuwepo na watu wengi na ndio maana akaenda kutafuta watu wa ushahidi....wanajichanganya
 
Shahidi no 8 leo kaja na ki... mav...

Hii kesi mwisho wake utakuwa ni aibu tupu, mlio karibu na Maza mwambieni aifute na waliomshauri vibaya awachukulie hatua kali ili iwe fundisho wa wengine kuchezea mihimili hovyo hovyo.
 
Naungana na Lema watoe mawakili hakuna kesi hapa ni uonezi tu. Huyu mama yetu ni Mzanzibar kweli?!
 
scripts zinagongana, vichwa vigumu - jaji atawabeba vipi hambebeki nyie wafilisiti ... mwachieni Mbowe aendelee na shughuli zake za kulikomboa taifa letu.
 
ulipopigiwa simu na Kingai ukafurahi ukajua perdiem imeingia... kutatua matatizo madogo madogo uliyokuwa nayo kwa hiyo hukutaka hata kujua kwa undani ni jambo gani Kingai alitaka ufanye huko uendapo, cha msingi kwako ilikuwa perdiem tu.
Hii kesi hata kama watamfunga Mbowe. Sirro na Kingai wanapaswa kufukuzwa kazi.
 
Shahidi no 8 leo kaja na ki... mav...

Hii kesi mwisho wake utakuwa ni aibu tupu, mlio karibu na Maza mwambieni aifute na waliomshauri vibaya awachukulie hatua kali ili iwe fundisho wa wengine kuchezea mihimili hovyo hovyo.
wacha ifike mwisho Gaidi afungwe vizuri
 
Huwezi kumwaga Damu Mungu akakuacha salama. Never
 
Hii kesi ina scenes za kitoto sana, hata bongo movie kwa uchanga wao wasingeweza kuweka scripts mbovu kama hizi

TRA kutwa mitaani wanafanya watu wafunge biashara zao ili kodi ikipatikana ikatumike kwenye hii kesi
 
Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.

Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…