Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Aione Nchambi mhujumu uchumiHii nchi ina chekesha sana. Yaani mbunge wa Ccm ana kamatwa na bunduki zaidi ya kumi sio gaidi. Bastola yenye risasi tatu imekuwa gaidi. Huu uonevu iko siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aione Nchambi mhujumu uchumiHii nchi ina chekesha sana. Yaani mbunge wa Ccm ana kamatwa na bunduki zaidi ya kumi sio gaidi. Bastola yenye risasi tatu imekuwa gaidi. Huu uonevu iko siku
Yule mama yaan adi bastola anaijua vizuri na serial namba anaijua, magazine inapokaa adi risasi, anasema alishuhudia wakiamrishwa kukaa chini lakini uyu wa leo anasema alienda kuwatafuta kwenye mabanda yao maana yalikuwa wazi kwa vyovyote kulikuwa na shughuli zinaendelea (akimaanisha aliamini lazima kutakuwa kuna watu) shahidi wa leo anataka kuiambia mahakama hapakuwepo na watu wengi na ndio maana akaenda kutafuta watu wa ushahidi....wanajichanganyaYule mama alidai kua aliwaona hao watu katika kibanda cha usajili laini wakati akifagia yeye na binti yake
Alisema alishuhudia tukio la polisi kutoa amti ya kuwaweka chini ya ulinzi akiwa hatua kumi kutoka alipo mpaka tukio linapofanyika
Shahidi wa leo anasema tukio la kutoa amri ya kuwaweka chini ya ulinzi ndio iliyowashtua watu na watu hao walikua umbali wa hatua 5 au 6
Shahidi wa leo ambaye ni polisi ameonesha hakuwa na hakika wa vile vitu vilivyo patikana ni vitu gani kwa watuhumiwa baada ya kuwasachi, lakini yule mama ambaye aliitwa kama shahidi katika maelezo yake aliweza kutambua kua ni madawa ya kulevya
Yule mama alisema kuna pakiti mbili zilikutwa ambazo moja ili contain kete 21 (ambapo katika jarida lake mahakamani iliandikwa kete 25) na pakti nyingine ili contain kete 58
Katika maelezo ya huyu shahidi hakuna taarifa za kete 58
Ngoja aje apigwe maswali kila kitu kitayeyuka kichwaniShahidi anatajiwa majibu asije akajichangaya adi judge anaona sio poa kabisa ihiiiiii bhagoshaa
Naungana na Lema watoe mawakili hakuna kesi hapa ni uonezi tu. Huyu mama yetu ni Mzanzibar kweli?!Si ndio kama walivyomuwekea mzee wa watu meno ya tembo umbwa takataka ghasia hao mwenzao keshafukuzwa....ila kumbuka mahita alisema watu walikusanyika pale kwenye lile nyomi ndo wakachukua mashahidi, leo jumanne anasema alienda kuwatafuta kwenye mabanda yao ya mbege
scripts zinagongana, vichwa vigumu - jaji atawabeba vipi hambebeki nyie wafilisiti ... mwachieni Mbowe aendelee na shughuli zake za kulikomboa taifa letu.Shahidi: Nikamwambia Afande Kingai kuwa Ngoja Nikaite Watu kwa ajili ya kushuhudia
Wakili wa Serikali: Ukawafuata wapi?
Shahidi: Palikuwa na Maduka na Mabanda kwa hiyo niliamini kuna watu wanaoendelea na Shughuli zao Na hapo watu watu walikuwa Wamesha Anza Kusogea
Wakili wa Serikali: Zoezi la Kutafuta Mashahidi lilifanyikaje
Shahidi: Nili angalia Maeneo Kadhaa Nikaenda Kwenye Banda, Ni kauliza nani anaye husika hapa, Kwamba Kwakuwa Kulikuwa wazi basi Kuna Shughuli zilikuwa zinaendelea Baada ya Kuuliza hivyo alijitokeza Dada Mmoja kwa Jina la Anita Mtaro
Mahita juzi alipoulizwa kwa nini aliamua kumfata shuhuda alie mbali, alisema shuhuda hakufwatwa kwenye duka lake ila alikua among the crowd[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii kesi hata kama watamfunga Mbowe. Sirro na Kingai wanapaswa kufukuzwa kazi.ulipopigiwa simu na Kingai ukafurahi ukajua perdiem imeingia... kutatua matatizo madogo madogo uliyokuwa nayo kwa hiyo hukutaka hata kujua kwa undani ni jambo gani Kingai alitaka ufanye huko uendapo, cha msingi kwako ilikuwa perdiem tu.
Hakuna kutoa mawakili,kila kitu kipo wazi dunia nzima inabidi ifahamu huu mchezo wa kiigiza ulivyo na script mbovuNaungana na Lema watoe mawakili hakuna kesi hapa ni uonezi tu. Huyu mama yetu ni Mzanzibar kweli?!
wacha ifike mwisho Gaidi afungwe vizuriShahidi no 8 leo kaja na ki... mav...
Hii kesi mwisho wake utakuwa ni aibu tupu, mlio karibu na Maza mwambieni aifute na waliomshauri vibaya awachukulie hatua kali ili iwe fundisho wa wengine kuchezea mihimili hovyo hovyo.
Huwezi kumwaga Damu Mungu akakuacha salama. Neverwatazikana tu, achana na kitu kinaitwa laana hapa duniani, watu wanafikiri hakuna sheria katika ulimwengu wa kiroho wanafikiri ni hizi sheria za duniani tu - no no no.
Hata mwenyezi Mungu alishindwa ku-justify ukombozi wa wanadamu hadi akamtoa nafsi yake izaliwe kama mwanadamu wa kawaida, damu umwagike ili ukombozi upatikane, hizi ni sheria za uumbaji wa ulimwengu.
Sheria zipo, na ni lazima wote wanaotesa wenzao wataipata hapa hapa duniani. unaweza kukuta hata mkeo anatembea na marafiki zako wa karibu tena chumbani kwako ukisafiri au hata kama upo, mwanao anakuwa msagaji ama shoga - ni moja ya laana hizo unashuhudia ungali hai.
Hii kesi ina scenes za kitoto sana, hata bongo movie kwa uchanga wao wasingeweza kuweka scripts mbovu kama hiziYule mama yaan adi bastola anaijua vizuri na serial namba anaijua, magazine inapokaa adi risasi, anasema alishuhudia wakiamrishwa kukaa chini lakini uyu wa leo anasema alienda kuwatafuta kwenye mabanda yao maana yalikuwa wazi kwa vyovyote kulikuwa na shughuli zinaendelea (akimaanisha aliamini lazima kutakuwa kuna watu) shahidi wa leo anataka kuiambia mahakama hapakuwepo na watu wengi na ndio maana akaenda kutafuta watu wa ushahidi....wanajichanganya
CCM hawalijui hilo, jamaa alitamba tamba kutanguliza wenzake weee mwishoe na yeye kafa kifo cha aibu, unafia chumbani wakati una access za hospital zote duniani... hapo ndipo ukuu wa Mungu ulipo.Huwezi kumwaga Damu Mungu akakuacha salama. Never
Inapaswa kushukuriwa kwa ilichokifanyacovid pamoja na madhara yake ilikuwa na faida kubwa
Twende hivi waumbukeHakuna kutoa mawakili,kila kitu kipo wazi dunia nzima inabidi ifahamu huu mchezo wa kiigiza ulivyo na script mbovu
kwani washtakiwa wakitoa mawakili nini hutokea??Naungana na Lema watoe mawakili hakuna kesi hapa ni uonezi tu. Huyu mama yetu ni Mzanzibar kweli?!