Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Mtoa mada umetumia lugha mbofu mbofu sana.. "halijui kitu alafu linajibu"
 
Ukichukua tahadhari kupita kiasi kwenye maneno unayoongea mahakamani Ni lazima uonekane hujui kitu (boya) hata Kama unajua na kuonekana huaminiki hata Kama ulipaswa uonekane unaaminika.
******
Kibatala: angalia Maneno ya DCI Katika hiyo Barua. Unafahamu Kirefu chake?

Shahidi: nimesahau kidogo

Kibatala: Mimi nikikwambia kwamba kirefu cha hayo maneno uliyoandika wewe kwenye barua yako ni DIRECTOR OF CRIMINAL INVESTIGATION?

Shahidi: Sijui mpaka Nipate Mwongozo Wa Wakubwa zangu

Kibatala: Juu pia maneno ya DFSI kuwa ni DIRECTORATE OF FORENSIC SCIENCE INVESTIGATION?

Shahidi: Sifahamu mpaka Nikumbushwe na wakubwa zangu

Kibatala: Na Bado wewe Unasema ni inspector wa Jeshi la polisi

Shahidi: Ndiyo
 
  1. "Cellebrite Now Says It Can Unlock Any iPhone for Cops". Wired. ISSN 1059-1028. Retrieved 2021-09-07.
 
Huyu shahidi wa leo kama inspector wa polisi ni kilaza hivi basi Tanzania hatuna polisi tuna mazombi. Inspector anashindwa kujua kirefu Cha DCI we uliona wapi inspector wa hivyo? Na tumeambiws kamaliza IFM hivi wakienda huko polisi wanawafanyaje akili zao? Ni dubwasha kila kitu sifahamu ni jambo linafikirisha kwakweli.
 
Cellebrite's Digital Intelligence Platform empowers law enforcement, governments, and enterprises to collect, review, analyze and manage digital data.
Umekata hako ukakimbilia huku kuja kutangaza mafanikio umeangalia pia vulnerability?

Security breaches​

On 12 January 2017, it was reported that an unknown hacker had acquired 900 GB worth of confidential data from Cellebrite's external servers. The data dump
 
Replica hebu hiyo tarehe 10/1 ifanye iwe tarehe 19/1 , halafu hiyo CHEDEMA ifanye iwe CHADEMA .

Vinginevyo tunakushukuru sana kwa uzi huu
 
Katika mahojiano haya nimegundua kwamba polisi wetu ni VILAZA sana na kwamba wanafanya kazi kwa mihemko ya kisiasa na kwa maelekezo ya CCM na vibaraka wake.
 
Mbona hawarudi! Halafu huyu shahidi inaonesha ana matatizo makubwa ya kiafya Kibatala asije akamuua kwa cross-examination zake kama yeye sasa ndiyo Mtengeneza Celebrite!
 
hahahahahahahhaaaahahahahahhahahahahahahahahahaha
 
Na Kibatala kashaona udhaifu wa huyu shahidi ni mkubwa sana. Ngoja aje ambamize
 
umenichekesha mpaka nimepaliwa 🤣🤣🤣🤣
 
Na Kibatala kashaona udhaifu wa huyu shahidi ni mkubwa sana. Ngoja aje ambamize
Cellebrite's Digital Intelligence Platform empowers law enforcement, governments, and enterprises to collect, review, analyze and manage digital data.
Imeshakula kwenu- data zipo ingawa jana mlijitahidi kutufanya tusijue ILA mnachosahau Jaji anazo zote na ndizo zitakazo tumika kuandaa hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…