OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Lakini Siro alisema wana ushahidi mzitoHivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.
Muulize kingai alienda chooni kupuu mala ngapi!!?Hivi hawa akina Mh. Kibatala unaweza ukatoa hela yako ukawalipa kwamba wanakutetea kweli??
Mtu yoyote anayefanya kazi katika taasisi fulani ni afisa wa taasisi hiyo ila idara husika huwa ina madaraja ya maafisa wake.Dahh! Luteni Urio leo kanifunza kitu..hivi kumbe Koplo ni cheo cha afisa jeshii...sasa mbona huwa hawaruhusiwi kuingia "officer's mess" kumbe huwa wanawaonea tu! mimi nilifikiria ngazi ya ofisa jeshini inaanzia Luteni Usu!
Aliposema amefikia hotelini, na jaji kuzuia kuulizwa ataje hoteli aliyofikia, Kibatala alitakiwa ambane kwa kusema uongo chini ya kiapo. Kwamba kafikia hotelini kumbe kawekwa sehemu tofauti.Urio inasemekana kuna sehemu kafungiwa na serikali. kifupi huyu sio shahidi huru. Yupo remoted. Vyombo vya habari za kiintelijensia vilitakiwa viumbue hapa
Huyu jamaa kaamua kuharibu hii kesi makusudi kabisa.Kesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh![emoji2365] Ndo mambo ya mchongo haya!
Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24
Shahidi: Sijui sasa
Hapa ndipo msingi wa swali la Kibatala ulipokuwa umejengwa!kwenye upande wa madaraja koplo atatambulika kama askari wa cheo cha chini(R&F).
Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyoNi mwehu kama hakuelewa swali aneomba ufafanuzi...kwa jibu lake amedhibitisha udhaifu wake...na ametia mashaka uelewa wake..si ajabu angeulizwa "je mlipokutana na Mbowe alikufahamisha nia yake ya ku create chaos nchi nzima' angejibu " hapana mimi aliniambia tu anataka kusababisha taharuki nchi nzima na sio mambo ya ku create chaos"....na bado ungefikiri shahidi sio mburura!
Aibu kwa taifaAibu kubwa kwa jwtz
Jaji naye fala tu,shahidi kaonekana ni mwongo lakini hatari watu wamuumbue uwongo zaidi na zaidiAliposema amefikia hotelini, na jaji kuzuia kuulizwa ataje hoteli aliyofikia, Kibatala alitakiwa ambane kwa kusema uongo chini ya kiapo. Kwamba kafikia hotelini kumbe kawekwa sehemu tofauti.
Mtu anatokea lockup ya Jeshi kuja kutoa ushahidi atakuwa na moyo wa kusapoti Mchongo? Mimi simlaumu kabisa Urio maana mateso aliyopitia ni Makubwa mno kuhimilika na binadamu.Akina kingai mahita na wenzao waliotengeneza kesi ya mchongo wanajuuta kumleta Lt Urio mahakamani kwani amewaumbua sana
Sasa unawatisha polisi na aibu- hivi aibu ya polisi wewe inakuhusu nini- si yao. Wewe badala ya kuhangaika kupinga ushahidi wa polisi wewe unawaibisha polisi. Hivi leo yule mnaemuita balozi wa Ujerumani kaja mahakamani?Jeshi la Polisi wamefanya jambo wasilolijua. Hii kesi itaacha aibu kubwa sana kwenye jeshi la Polisi Tanzania, lkn na Nchi kwa ujumla. Kinachonisikitisha ni IGP kuiaminisha Dunia kwamba wanao ushahidi madhubuti kwamba Mbowe ni Gaidi.
Tangazo lake likachukuliwa pia na Mheshimiwa Rais nae bila kuelewa kwa undani akaiambia Dunia kweli Mbowe ni Gaidi na wenzake walishakutwa na hatia na kufungwa.
Sijui kwa nini hawataki kuwasikiliza watu wanaoshauri kesi hii ifutwe. Waathiriwa walipwe fidia na kusamehe.
Waliohusika kuwabambikia Raia wema kesi hii wawajibishwe kwa kufutwa kazi na kuisababishia Serikali hasara kubwa ya pesa na hasara ya uaminifu wa Serikali kwa Umma na Jumuiya ya Kimataifa.
Kadri siku zinavyokwenda, Taifa linajianika na kujionyesha namna jeshi letu la Polisi walivyo na mzaha juu ya usalama wa Nchi.
Shika adabu yako wewe; matusi ya nini? Mtu mzima ovyoJaji naye fala tu,shahidi kaonekana ni mwongo lakini hatari watu wamuumbue uwongo zaidi na zaidi
Halafu kesi ikafutwa?Muulize kingai alienda chooni kupuu mala ngapi!!?
Kibatala: Kwa hiyo wewe ulimruhusu Bwire Waendelee na Mipango yao, Mipango ipi
Shahidi: Waendelee na Mipango yao ya Kumdhuru Sabaya, Kama Wakiweza
Kibatala: kwa hiyo Baada ya Kumdhuru Sabaya Walitakiwa Kuriport Kwako tena
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Kwa hiyo Wewe Luteni Wa Jeshi la Wananchi Tanzania, uliwaruhusu Kwamba wakatekeleze Mpango wa Kumdhuru Sabaya Kwa sababu wapo Ground?
Shahidi: Ningefanyaje sasa na Watu wapo Ground
Kibatala: Kwani Wakati huo walikuwa weshamdhuru au Bado
Shahidi: Walikuwa Bado, Ndiyo Wapo Kwenye Mpango
Kibatala: Je Baada ya Bwire Ku Confess Kwako, Ulimwambia Afande Kingai
Shahidi: Sikumwambia
Halafu kesi ingefutwa? Ndo ujue Mh. Kibatala ni Comedian zaidi ya MasanjaAliposema amefikia hotelini, na jaji kuzuia kuulizwa ataje hoteli aliyofikia, Kibatala alitakiwa ambane kwa kusema uongo chini ya kiapo. Kwamba kafikia hotelini kumbe kawekwa sehemu tofauti.
Kwann lock up ya jeshi mkuu? Naomba kujuaMtu anatokea lockup ya Jeshi kuja kutoa ushahidi atakuwa na moyo wa kusapoti Mchongo? Mimi simlaumu kabisa Urio maana mateso aliyopitia ni Makubwa mno kuhimilika na binadamu.
Nadhani kuna sehemu shahidi huyu atatakiwa kuthibitisha hotel aliyofikiaAliposema amefikia hotelini, na jaji kuzuia kuulizwa ataje hoteli aliyofikia, Kibatala alitakiwa ambane kwa kusema uongo chini ya kiapo. Kwamba kafikia hotelini kumbe kawekwa sehemu tofauti.
Huwa tunaaminishwa tuna jeshi na askari bora kwa ukanda wetu wa east Africa,dah!! nimemsikiliza Luteni wetu anavyojichanganya kujibu maswali..namashaka sana na vikosi vyetu.