Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Hebu tusaidie alichovuka hapo ni kipi?Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)
Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
shaidi muhimu sana kwenye hii kesi alikuwa forensic officer .keshatoa ushihidi mwepesi sana, tena wa kumudefend mbowe, Kwamba kwenye vielelezo vyote alivyofanyia uchunguzi havikuwa na elements za ugaidi.leo pia tumeshuhudia shaidi mwingine wa muhimu ambaye michongo yote ilipitia kwake naye kashindwa kudhibitisha tuhuma za ugaidi dhidi ya mbowe,kwa upande mwingine naona kama wanamtetea mboweSo far mm nafikiri ushahidi wa msingi at least ungekua ni kutoka kwa kina Adamoo, Lijenje, Mohammed na Bwire kama wangetumika kama undercover na wakawa upande wa jamuhuri, ila hadi so far ukiangalia msingi wa kesi na mashahidi walioletwa unaona kabsa hapa hakuna jipya tena hata akiletwa huyo Lijenje Bado haoneshi kama kuwa na ushahidi wenye mashiko
Huyu anatokea lock kwenye kambi ya Twalipo ambako gari lake limepakiwa.Kwann lock up ya jeshi mkuu? Naomba kujua
Hujui chochote kaa kimya kachambue mchicha na wake wenzio.Halafu kesi ingefutwa? Ndo ujue Mh. Kibatala ni Comedian zaidi ya Masanja
Kwann kawekwa lock up sasa?Huyu anatokea lock kwenye kambi ya Twalipo ambako gari lake limepakiwa.
Na hapa ndipo eneonla msingi sana kuwa kesi ni ya mchongo.Kesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh!🤦🏾♂️ Ndo mambo ya mchongo haya!
Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24
Shahidi: Sijui sasa
Atakuwa anazungumzia kesi nyingine bila shakaHebu tusaidie alichovuka hapo ni kipi?
Toka Siro na chief Hangaya walipotoa maoni yao wengi wenye akili tulishajua kwamba Mbowe anaenda kufungwa na kinachofanyika hapa ni kuonyesha tu kwamba utaratibu Wa kumfunga ulifuatwa Ila kiuhalisia hakuna kesi Ni chuki binafsi tu, So kufungwa kwa Mbowe halitakuwa Jambo la kushangaza.Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)
Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
Kesi ifutwe kwa majibu hayo.... Ebu twende mpaka mwisho...kibatala we muache tu maana huingii hata kwenye unywele wake mmoja utaelea tuHalafu kesi ingefutwa? Ndo ujue Mh. Kibatala ni Comedian zaidi ya Masanja
Aliyewaloga vijana wa ccm na wazee wao Mungu anamuona.Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)
Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
Huyu Urio anajuta sana kuwachoma wenzake, naona Kati Yao mmoja alikua rafiki yake wa karibu sana, na mateso waliyopata Hao wenzake kwa sababu yake yanamtesa sana, ndo mana kila wakati anawatetea kuwa ni watu wema tena Hawana hatia, anajuta sana, na hii Kadri atakavohojiwa muda mrefu atajikuta anapanic na kuanza kunyosha maelezo sahihi... Rejea kila anapoulizwa kuhusu kina Adamoo au Bwireshaidi muhimu sana kwenye hii kesi alikuwa forensic officer .keshatoa ushihidi mwepesi sana, tena wa kumudefend mbowe, Kwamba kwenye vielelezo vyote alivyofanyia uchunguzi havikuwa na elements za ugaidi.leo pia tumeshuhudia shaidi mwingine wa muhimu ambaye michongo yote ilipitia kwake naye kashindwa kudhibitisha tuhuma za ugaidi dhidi ya mbowe,kwa upande mwingine naona kama wanamtetea mbowe
Kufungwa hawezi maana wanajua dunia inafuatilia,huoni Hangai anavyohangaika namna ya kumaliza kesi?Toka Siro na chief Hangaya walipotoa maoni yao wengi wenye akili tulishajua kwamba Mbowe anaenda kufungwa na kinachofanyika hapa ni kuonyesha tu kwamba utaratibu Wa kumfunga ulifuatwa Ila kiuhalisia hakuna kesi Ni chuki binafsi tu, So kufungwa kwa Mbowe halitakuwa Jambo la kushangaza.
Hana tofauti na mjingamimiNdugu mahakama haifanyi kazi bila ushahidi..maneno ya Urio kuwa Mbowe alimwambia mpango wa ugaidi bila ushahidi maneno matupu tu hayasaidii hasa kama hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wao wawili tu..maana Mbowe anaweza kuja nae akasema hakuwahi kumuambia Urio huo mpango....hapa inaonesha wewe ndio layman unaoshangilia ushahidi usiokuwa na mashiko wa Urio
Huyo ni mchicha pori mwacheniAtakuwa anazungumzia kesi nyingine bila shaka
Mtu hawezi kuhukumiwa mahakamani bila ushahidi wa kuthibitiaha jinai pasipo kuacha shaka.Mbowe hawezi kufungwa na kesi inaelekea mwisho hii.Hakutakuwa na kesi ya kujibu,serikali itakata rufaa ili kupunguza aibu na rufaa haitaamuliwa haraka.Toka Siro na chief Hangaya walipotoa maoni yao wengi wenye akili tulishajua kwamba Mbowe anaenda kufungwa na kinachofanyika hapa ni kuonyesha tu kwamba utaratibu Wa kumfunga ulifuatwa Ila kiuhalisia hakuna kesi Ni chuki binafsi tu, So kufungwa kwa Mbowe halitakuwa Jambo la kushangaza.
Hata mm sioni kesi yoyote ya kujibu hapa, mana maelezo ya mashitaka makuu hayana evidence kamili zaidi ya kusema alinambia hivi, hata ushahidi wa Kingai watoa maelezo wanakana kutoa maelezo hayo wansema walishurutishwa sasa hapo kina Mbowe wajibu nini..... Hii kesi ya kuondolewa mahakamani harakaMtu hawezi kuhukumiwa mahakamani bila ushahidi wa kuthibitiaha jinai pasipo kuacha shaka.Mbowe hawezi kufungwa na kesi inaelekea mwisho hii.Hakutakuwa na kesi ya kujibu,serikali itakata rufaa ili kupunguza aibu na rufaa haitaamuliwa haraka.
Amelazimishwa kutoa ushahidi wa Uongo kwa masharti , huyu alikamatwa na kuteswa pia , lengo la kumtafutia walinzi Mbowe likageuzwa mchongo kwakeKwann lock up ya jeshi mkuu? Naomba kujua